Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Watanganyika tuko usingizini wazanzibari wanatuuza tukiwashaΓ±gilia!
 
West africa
 
Umeandika upuuzi wa kilofa
 
Siku watumishi wa UMMA wakikosa Mishahara ndo tutaongea lugha moja kuhusu hii mikopo uchwara inayooishia kwenye mifuko ya watu.
Haitakuja kutokea hapa Tanzania.Moja ya Nchi ambayo inaishia Kwa hesabu Kali za kujihami ni Tanzania.

Mnaweza kosa vingine sio salary
 
Machadema ni wajinga sana,uzushi na upuuzi ndio ambacho mnakiamini na kukitegemea kwenye siasa.

Yale Yale ya DP World amezuia uwekezaji Kwa wengine au Bandari zetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acheni ujinga nyie nyumbu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/VOASwahili/status/1797998016923894131?t=hYRTrtCftiZNAb7phb1TMA&s=19
 
Mgodi upi uliogaiwa? Na kwa nani?
 
Unaropoka tuu kama poyoyo.
-Hakuna mradi hata mmja wa Mwendazake uliosimama sana sana Mingi imekamilika except Sgr.

Unataka kujua nini amefanya au unasumbuliwa na chuki?

Mwisho kama huoni wewe Kwa sababu za chuki binafsi unataka usaidiwaje? Wananchi wengi wanaona huko huko kwenye maeneo Yao kuanzia mtaani mjini Hadi kitongojini Vijijini
 
Akina Mzee Nyerere wangekuwa na mtazamo kama Viongozi wa sasa, huenda tusingepata hata ardhi ya kujenga.

Yaani Viongozi wako so corrupt na Idara ya Usalama ipo ikiwaangalia tu πŸ™Œ
Mtizamo gani? Nini kimebadilika kwenye mtizamo? Aliyekimbia Ikulu Kwa kuharibu Uchumi alikuwa nani zaidi ya Nyerere?
 
Mtizamo gani? Nini kimebadilika kwenye mtizamo? Aliyekimbia Ikulu Kwa kuharibu Uchumi alikuwa nani zaidi ya Nyerere?
Nioneshe assets alizokodisha/Kuuza Mwalimu Nyerere Kwa Wageni/Wazungu n.k kama walivyofanya Viongozi waliomfatia kuongoza Nchi

Nyerere was never a corrupt guy kama walivyo hawa wasasa
 
Nioneshe assets alizokodisha/Kuuza Mwalimu Nyerere Kwa Wageni/Wazungu n.k kama walivyofanya Viongozi waliomfatia kuongoza Nchi

Nyerere was never a corrupt guy kama walivyo hawa wasasa
Hakukodisha lakini aliingiza hasara Kwa hasara Kwa Nchi Hadi mkawa mbavaa viraka na kwenda kuombeleza Mafuta Iran.

Upumbavu kama huu ndio unashangilia?
 
Hakukodisha lakini aliingiza hasara Kwa hasara Kwa Nchi Hadi mkawa mbavaa viraka na kwenda kuombeleza Mafuta Iran.

Upumbavu kama huu ndio unashangilia?
Wewe kwenye familia yenu, hakuna Siku mlilala njaa ama kushindia Uji?

Lakini still Baba yenu hakuuza nyumba mliyokuwa mkikaa

Huo ndiyo Uanamme, sio kuuza rasilimali za Nchi pamoja na kuuza Viwanda/mapori yetu ya akiba/Bandari n.k
 
Mie kinachoniuma zaidi ni kwamba ETI mkopaji ana mpango wa kugombea nafasi aliyonayo uchaguzi mkuu wa mwakani!!!.
Afrika tumelogwa
Mi nikifikiria hii najikuta nachooooka, ccm hawana mpango wa kujenga nchi kwa hiyo hata Samia kwako anafaa tu. Hawa watu mashetani kwelikweli
 
Kwa vyovyote vile washauri wake ni wakulaumiwa. Hizo degree anazodanganywa nazo sio kwamba wanampenda sana, Kuna kitu kinahitanika kutoka kwake. Kwamba yeye ameendesha nchi vizuri kuliko Thabo Mbeki? Au kuliko Mwai Kibaki? Kwa nafasi aliyonayo hata asipowewa hivyo vidigrii feki huko tayari tunamheshimu. Hahitaji "validation" kuwa alipo. Rasilimali zetu sio pipi agawe tu Kwa visenti vidogo anavyopewa.
Bajeti ya wizara ya Fedha kiasi Cha TSH 13 trilioni ni malipo ya deni la Taifa. Hiyo ni asilimia 30 ya mapato yote. Tunaenda wapi? Kuna wakati it is not worthy kuwa na hizo barabara ambazo zinavunjika na kuharibika baada ya miaka mitano.
Mama una miaka sitini na, labda hutakuwepo wakati watoto wetu wanalipia sera mbovu za serikali ila tuonee huruma. Hata Nyerere hakushindwa kugawa haka kanchi aliona tu si busara.
Natamani ufanikiwe ila si Kwa kukopa kila sehemu na kugawa hata vichache tulivyopewa na Mungu.
 
Bro natamani sana afanikiwe maana mafanikio yake ni mafanikio ya Tanzania lakini bajeti yake 30% analipa mikopo na mingine bado inachukuliwa unafikiri ni muda Gani kabla hatujafika watu wanapopasema? Hatuandiki Kwa chuki Bali tunaona namba na huwa hazidanganyi. Hiyo bandari atajenga huyo mkorea akienda kuvua kwenye maji makuj una kifaa gani cha kumuona kama akikudanganya?
Tukiangalia kesho ya Tanzania tunaona Giza. Tunaongea maana tunapenda. CCM na Chadema hawatofautiani sana ila Kuna nchi yenye wananchi. Je wajukuu watarithi Nini?
 
Mgodi upi uliogaiwa? Na kwa nani?
Naamini Kwa umri wako ni mkubwa. Kwa sasa tuna madini ambayo Dunia inayahitaji. Kumwita mtu na kuyampa Kwa ahadi ya kukupa dollar 600M sio akili. Tukitaka tunaweza kuwezesha watu wetu wachache ili wawekeze huko. Urusi imetumia njia hiyo na ndo maana mpaka Leo vikwazo vya magharibi vimeshindwa.
Hatumpingi mtu Kwa sababu ya dini yake. Kabla ya yeye kuwa dini aliyopo ni Mtanzania. Anatakiwa akiwa kwenye vikao hilo liwe mbele yake kwanza. Na pia tunamuombea afanikiwe maana ndo mafanikio yetu sote lakini mafanikio hayahusishi kupewa zawadi za kitoto ili utoe rasilimali.
Nchi ya Marekani Ina wanajeshi 30,000 Korea. Ikitokea vita Korea Leo Marekani anaenda kupigana Kwa niaba yao lakini ukiona lini walimwita Joe Biden wakamtunza shahada. Kwamba mtu amabe uhusiano wenu hata ukivunjika hauna shida anaweza kulinganishwa na mlinzi wake? Tukatae sifa za kijinga Kwa watu wanaotaka kitu kwetu.
 
Umejitahidi sana kuwaelewesha Watz waliojipa Cheo Cha " Chawa", ingawa Nina HAKIKA, hayupo atakayekuelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…