Uelekeo555
Senior Member
- Jun 1, 2024
- 160
- 112
Bado safari ndefu kidogoWananchi kupitia katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado safari ndefu kidogoWananchi kupitia katiba mpya
Acha mauzushi yako wewe jamaaSalaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?
Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!
Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?
Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?
Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?
Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?
Mh Ndugai akiwa Spika wa bunge, alishindwa kumfunga kiongozi huyu speed governor, Nani ataweza?
Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?
Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???
Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?
Karibuni🙏
Pia soma Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea
Mkuu jana watanzania walikuwa wana wacheka akina Mangungu na Mirambo, sasa leo mambo ni yale yale, na nadhani ni bora yale kuliko yanayoendelea. TUJITAMBUE NA KUJIREKEBISHA,Nchi ni ya sisi sote, - TULIOPO NA WANAOKUJA (WATAKAO ZALIWA)Kama kupigwa mnada Afrika nzima ingeshapigwa mnada miaka mingi iliyopita. Viongozi wetu wakijifungia ndani huwa mnakuja na maandiko yanayowakejeli pia.
Hakuna hii kitu everHakutakuwa na tangazo la zabuni ya kuuza nchi. Sio kwamba gazetii au international business portal zitatangaza kwamba kuna nchi inauzwa huku. NO
Mtakuja kushtuka tu heeeh kumbe mmeuzwa miaka mitatu iliyopita. Itakuwa mmechelewa sana, kwa sababu hayo mauzo hayatakuwa na fidia bali ni nchi kuendelea kuwa chini ya wanunuzi.
Nchi inaweza isiuzwe kwa mnunuzi mmoja, huyu anaweza kuuziwa madini yule bandari na bahari, yule mbuga za wanyama na wanyama. Kwa hiyo mtakuta sehemu zote zimeuzwa isipokuwa nyinyi tu ndio hamjauzwa. Sasa hamtakuwa na pakwenda.
Hii kidogo kidogo ndio mchakato wenyewe. Amini hivyo, na Sio kusubiri eti kutakuwa bango kuuubwa kila mahali kwamba nchi imeuzwa.
Hamtakuwa na mtu wa kumbana kwa sababu wauzaji wote muhimu wamepewa kinga kisheria.
Huu ni uongo na Uzushi"Kuleni kulingana na urefu wa kamba zenu".
Kumbe yeye alikuwa anajua anachoenda kukifanya.
Jeshi ambalo halijawahi kupigana vita yoyote ni wananchi waliochangamka tuTungekuwa na Jeshi linalojitambua lingeikomboa nchi maana kwa mfumo haramu wa uchaguzi waliojiwekea sanduku la kura halina uwezo wa kuiponya nchi. Wajeda nao ndiyo hivyo makamanda wao ni makada watiifu wa hawa watesi wetu.
Punguza uzushiSalaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri...
Upigwe tuSalaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?...
Faida za kung'ang'ania kimara sijui sinza wakati ujinga wa kibongo tunaujua,nenda manerumango uone kama mambo yakupandia madirishani yapo,sikuhizi hata mbagala mliyoiponda sana enzi zake haina tena huo ujinga,ila yote ya yote ni matokeo ya ujinga wa Kitanzania 🤪Sasa mama mjamzito ataweza Kweli kuingia kupitia Dirishani?
KAZI IPO🤔
Yupo home na anasoma koment zetu mkuu..... tujitahid tu kumuomba radhi kama kuna mahala tulimtusi.Hadi bibi chaudele anatoka kwenye madaraka tanganyika yote itakua imerudi kua koloni la mataifa tofauti duniani, bwana nduga iiii aliyaona mapema akasema ukweli lakini kile kibibi kwa kushilikiana na machawa wake wakamtukana na kumdhalilisha kinacho endelea sasa hivi naona jamaa hua anajichekea zake
Hadi bongo lala zizinduke🤪Hatari sana gharama ya safari 9b, mkopo 3t, wezi waibe 8b salio......then tuwape madini na mbuga.
Kwa alivyo sema nchi itauzwa alikua sahihi na sikuwahi kumpinga kwa hilo kwa sababu aliongea ukweli mtupuYupo home na anasoma koment zetu mkuu..... tujitahid tu kumuomba radhi kama kuna mahala tulimtusi.
Subutuuu, Niko paleeeeeMie kinachoniuma zaidi ni kwamba ETI mkopaji ana mpango wa kugombea nafasi aliyonayo uchaguzi mkuu wa mwakani!!!.
Afrika tumelogwa!