Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Nawashangaa nyinyi mnafanya kazi ya kupinga kile msichokifahamu.Huyo ni mnufaika wa vyeti feki,
Anahofia kiongozi aliyepo akiondoshwa, atakosa KAZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashangaa nyinyi mnafanya kazi ya kupinga kile msichokifahamu.Huyo ni mnufaika wa vyeti feki,
Anahofia kiongozi aliyepo akiondoshwa, atakosa KAZI.
Mtanganyika JPM alikopa sana pesa huko huko kwa wazungu akimtuma Dotto James, au labda umeshasahau?.Wazanzibar kuwa hawajali mali za watanganyika
Na kinachouma zaidi akigombea kuna watakaompigia kura.Mie kinachoniuma zaidi ni kwamba ETI mkopaji ana mpango wa kugombea nafasi aliyonayo uchaguzi mkuu wa mwakani!!!.
Afrika tumelogwa!
wakipewa madini na bandari wao hawaiwahusuu yani kwa mpaka sasa hatukopeshekii walahiii bado kwend a kukopa kenya tuHao wakopeshaji nao hawana fikra,
Mwizi anakopeshwaje sasa,
Ukimpa tu hizo pesa, nenda kasome Ripoti ya CAG mwaka ujao uone madudu!!
Nchi gani ilifanya mapinduzi ya kijeshi hapa Afrika na ikapiga hatua kimaendeleo? Hao wajeda nao ni binadamu kuna majeda vilaza pia, wana tamaa ya mali pia, maisha ya luxury wanayataka pia.Tungekuwa na Jeshi linalojitambua lingeikomboa nchi maana kwa mfumo haramu wa uchaguzi waliojiwekea sanduku la kura halina uwezo wa kuiponya nchi. Wajeda nao ndiyo hivyo makamanda wao ni makada watiifu wa hawa watesi wetu.
Wewe tafuta ajira tu upunguze njaa yakoNchi gani ilifanya mapinduzi ya kijeshi hapa Afrika na ikapiga hatua kimaendeleo? Hao wajeda nao ni binadamu kuna majeda vilaza pia, wana tamaa ya mali pia, maisha ya luxury wanayataka pia.
NB: katika maandamano ya chadema nchi nzima hapa karibuni moja ya ajenda ilikua ni kulinda rasilimali za nchi, je uliandamana?
Ajira ipo kijana, kamuulize mama ako anamuuzia ndogo nani atakupa taarifa zanguWewe tafuta ajira tu upunguze njaa yako
Unasema hela hazieleweki zinafanya kitu gani wakati unaishia maisha yako yote hapa Dar, tembe huko mikoani uone umeme ulivyosambazwa nchi nzima.Mama anaenda kukopa hela kwa jina la nchi kama anaenda kukopa vikobaa kila siku nchi za watuuu..hela zinapoenda hazionekanii kabisaa.. miaka mitatu hakuna kipya kafanya hata vile vya magufuli kashindwa kuviendeleza zaidi ya kuu miradi aliyoikutaa leo mwendokasi inakufaa..sgr haina dalili hata ya kuanza kazi...bima toto akaua umeme nao ovyoooo ovyoo BANDARI AKAONA AUZEE KABISA aisee huyu akipewa miaka mingine mitano tutauzwaa pamoja na watoto zetu.
Kwa akili hizi za kipumbavu kila unachokileta humu JF ni lazima kikudharaulishe wewe mwenyewe.Ajira ipo kijana, kamuulize mama ako anamuuzia ndogo nani atakupa taarifa zangu
Anayalipa Kwa makamasi Yako.Your ignorance is no more bearable ,naona unauliza maswali ya kijinga.
Haya ni maoni,madai au ushahidi? Si wa print ili wasiwe na deni kama ni rahisi hivyo
Haya ni maoni,madai au ushahidi? Si wa print ili wasiwe na deni kama ni rahisi hivyo
Wewe unamuamini huyo chawa?!Tafuta bandiko la Profesa Mkumbo limeongelea kwa kina kilichokwenda kufanyika Korea kabla ya kuanzisha uzi wenye ujumbe ambao tayari umeshatolewa ufafanuzi.
ZanzibarHiv mikopo hii inaelekezwa kwenye sector gani hasa?
Waache waue nchi hata Mobutu alitumbua pesa za mikopo akiamini nchi itazilipa zote alipokuja kupigiwa hesabu pamoja na riba akaanza kujamba jamba. Kila mtu apambane awe na biashara na pia ajitahidi atafute fursa hadi nje ya nchi. Tanzania tunaelekea kuwa kama Congo pole pole. Tukifika katika stage hio watakaofaidika ni wale wenye contacts za biashara nje ya Tanzania. Ukifanikiwa kidogo tembelea Uganda, Kenya, Zambia utafuta connection ya bishara yako hapa Tanzania na huko. These contacts will be important for you when our country becomes a failed state.Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?
Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!
Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?
Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?
Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?
Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?
Mh Ndugai akiwa Spika wa bunge, alishindwa kumfunga kiongozi huyu speed governor, Nani ataweza?
Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?
Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???
Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?
Karibuni🙏
Pia soma Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea
Sanduku la kura halina tija kwa sababu ya wizi wa kuraSanduku la kura tu ndo linaweza mdhititi