Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?

Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?

Karibuni🙏
Mkuu piga kura na isimanie tu! Vinginevyo tulia!
 
Tufunge Na Kuomba...
 
Tungekuwa na Jeshi linalojitambua lingeikomboa nchi maana kwa mfumo haramu wa uchaguzi waliojiwekea sanduku la kura halina uwezo wa kuiponya nchi. Wajeda nao ndiyo hivyo makamanda wao ni makada watiifu wa hawa watesi wetu.
Nilikuwa kkoani fulani kikazi, wakati wa uongozi wa JK, baada ya kujadili njia tulizoona zinafaa kumzuia, hoja ya wajeda iliingia, kwamba hawa wanaaweza kufanya mabadiliko.

Jambo la kushangaza kesho yake anakuja mmoja mwenye cheo cha Captain anaomba tumsaidie kulipwa madai yake ya muda mrefu kutoka kwa mwajiri wake! Ngachoka.
 
Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?

Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?

Karibuni🙏
Kwanza Toka enzi za JK Hadi Sasa hivi wastani wa mikopo ambayo Serikali Inachukua Huwa inacheza kati ya Trilioni 8-12.

Mikopo Mingi ambayo Serikali imekuwa inaingia ni mikopo ambayo hupati hela mara Moja Bali unaipata Kwa miaka kadhaa hususani hiyo ya mda mrefu.

Sasa mpaka hapo Kuna shida gani? Pili hakuna Nchi itakukopesha kama hulipi na mara zote Bajeti ya kulipa.mikopo Huwa ni kubwa kuliko mikopo mipya.

Mwisho sijawahi ona Mkopo ambao Serikali Inachukua na haijasema itafanya kazi gani.On top of that Miradi yote ambayo Ina smooth implementation ni mikopo ,ila Ile ya kutegemea hela za ndani Huwa haiishi Kwa wakati na inazalisha hasara zaidi.

Naunga mkono Serikali izidi kukopa Kwa Ajili ya miundombinu.Ukitaka Serikali isikope lipa Kodi kubwa.

Mwisho huo uzushi unaousema wewe una ushahidi wa kuweza kuthibitisha hayo madai Yako? Ikumbukwe anaekopa ni Serikali sio Rais.
 
Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?

Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?

Karibuni🙏
Vipesa kiduchu? Unaijua Trilioni 2 au 1 ama unaropoka tuu hapa?

Kama Trilioni 1 ya Uviko ilimwaga maelfu ya miradi Nchi nzima sembuse Trilioni 2? Trilioni 2 inajenga kigongo-Busisi 3 ,usiwe unaropoka
 
Kama kupigwa mnada Afrika nzima ingeshapigwa mnada miaka mingi iliyopita. Viongozi wetu wakijifungia ndani huwa mnakuja na maandiko yanayowakejeli pia.
Ingeanza kupigwa Mnada USA ambao inadaiwa pesa mara 3 ya uwezo wa Uchumi wake.

Acheni ujinga,usifananaishe mikopo Nchi na kausha damu zenu ,hamjui kitu kuhusu Debt Management
 
Ndugai na madhaifu yake yote!! Aliliona jambo hili mapema sana. Na mwisho wa siku akaishia tu kuchambwa hadharani, na kuvuliwa haraka nafasi yake ya uspika.
Yeye si ndiye aliyekwenda China kubembeleza ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo, au nimekosea? Maana niliona akipokelewa kiheshimiwa kule China wakati ule alipokuwa Spika. Baada ya Magu kufa na kuona hana chake ndiyo alianza kupiga kelele - unafiki ulioje!
 
Ingeanza kupigwa Mnada USA ambao inadaiwa pesa mara 3 ya uwezo wa Uchumi wake.

Acheni ujinga,usifananaishe mikopo Nchi na kausha damu zenu ,hamjui kitu kuhusu Debt Management
Tofauti ya maden ya USA na yetu, USA halipi kwa mtu hayo madeni yeye anaprint pesa zake anajikopesha usije kudhan anaenda kukopa kwa mtu ndio maana USA haidaiwi na mtu yeyeyote na haitalipa hayo madeni kwa mtu wala sehemu yeyote
 
Tofauti ya maden ya USA na yetu, USA halipi kwa mtu hayo madeni yeye anaprint pesa zake anajikopesha usije kudhan anaenda kukopa kwa mtu
Ndio maana nakwambia wewe ni mbumbumbu na mjinga,ingekuwa ni ku print tuu angeorint na angakuwa hana hata deni Moja.

Pili hata pesa za Miradi Serikali ingeprint afu iwaletee.

Nyie mbumbumbu wa Uchumi,hayo mambo hamyajui so kausheni hizo ni taaluma za wana uchumi kama Mimi.

Aje hapa economist ndio tujadilo sio mbulula wengine
 
Sawa mkuu nitajie hizo hela inadaiwa na nan hiyo USA. ukishindwa basi wewe ndio mbumbumbu
 
Wa kwanza anaemdai ni China ,pili IMF,WB na 3 ni Mabenki na masoko makubwa ya Kimataifa Yaliyopo kule kule kwao na Nje ya Nchi.

Wewe ni mbumbumbu,ungekuwa mchumi usingekuwa unaleta vituko.Aje mchumi mwenzangu ndio tuhojiane kuhusu mikopo sio layman kama kina Ndugai waliosomea environmental eti wanajadili mambo ya uchumi na mikopo 😂😂
 
Back
Top Bottom