Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Wa kwanza anaemdai ni China ,pili IMF,WB na 3 ni Mabenki na masoko makubwa ya Kimataifa Yaliyopo kule kule kwao na Nje ya Nchi.

Wewe ni mbumbumbu,ungekuwa mchumi usingekuwa unaleta vituko.Aje mchumi mwenzangu ndio tuhojiane kuhusu mikopo sio layman kama kina Ndugai waliosomea environmental eti wanajadili mambo ya uchumi na mikopo 😂😂
Sawa mkuu china inaidai shingap USA, IMF na hiyo WB leta figure
 
Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Mh Ndugai akiwa Spika wa bunge, alishindwa kumfunga kiongozi huyu speed governor, Nani ataweza?

Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?

Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Karibuni🙏
Kuna msemo wanasemaga, "wawekezaji watatengeneza ajira kwa vijana wetu"
 
Sisi hatuna uhaba wa pesa,

Tatizo letu ni kushindwa kudhibiti wezi wa mapato ya Serikali.

Hilo ndilo tatizo letu,

Pesa Serikali ulizotumia kwenye mradi fake chini ya Bashe, umeleta TIJA Gani ya kusaidia kurudisha mikopo hiyo?

Bila hata kujiuliza,

Huyoo keshaenda Kugawa bahari Kwa wakorea Kwa pesa ambayo ni ndogo sana ambayo anapewa kidogo kidogo Kwa miaka mitano,

Kwani tungekopa meli kubwa za UVUVI WAKAPEWA kampuni za wazawa wakafanya UVUVI deep sea, hivyo vipesa tungepata within six months,

Kiongozi wetu afungwe speed governor, atatuuza!!
Mkuu Rabbon usijidanganye. Nchi hii serikali haina pesa. Sababu moja kubwa ni hiyo uliyoandika kwenye sentensi yako ya pili. Hakuna makusanyo ya maana wala matumizi yenye weledi.

Halafu hilo pendekezo la kukopa na kununua meli kubwa za uvuvi ni kwa watu wenye mikakati ya dhati ya maendeleo kwa kutumia rasilimali kubwa walizojaliwa. Watu wenye akili kubwa na upeo mkubwa wa kufikiri.

Sio watu wanaochota hazina ya taifa kwenda kununua ndege eti kufufua shirika mfu bila business plan, vigezo muhimu wala kuzingatia taratibu makini za manunuzi. Wanaachia advantage yote kwa wauzaji na madalali wao! Halafu muda mwingi zina park, au kuwa matengenezoni, detention au wanazurura nazo nchini na duniani wenyewe. Na hakuna anayehoji wala kusumbuka na hilo.

Fahamu tu hii ni nchi ya kitu kidogo; nchi ya watu wadogo (courtesy of Eric Wainaina). Hakuna linalowezekana. Acha Wakorea waje na mimeli yao wavue kwenye deep sea yetu bila mikwaruzo. Hata bila mikataba wanaweza tu kama Wachina na Wathailand wanavyotuibia siku zote bila hata kujua.
 
Nimeona taarifa kuwa rate ya kulipa kwa mwaka imepanda
Na deni limeongezek kwa 15% tangu magu aende
Na gharama za maisha zinapandaga tu
Mara umeme
Pesa inashuka thamani kila siku
Dola adimu
Ajira hakuna

Seriously this is paining me
Tuache unafki na ushabiki wa kijinga penye ukweli tuuseme kiuzalendo zaidi
Na tufanye maamuzi kama watu wazima tunaomuogopa Mungu
Ccm 2025 inabidi itoke tu,, au ituletee kiongozi mwingine ambaye ni wa uhakika
 
Mara tunaletewa madawa ya kufunga uzazi, mara nchi imeuzwa ooh Wanyama wanabebwa

Hivi yote haya hayafanywi na wazawa ama
Tunajitoa ufahamu tu
 
Wewe acha maswali ya kijinga yaani nianze kukukotoa specific amount? Naweza kupa figure Jumla ya deni la USA against GDP.

Mwisho wale mliokuwa mnasema Samia amekopa Trilioni 30 naomba mnioneshe hiyo hela kwenye hii hesabu ambayo aliikuta hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C7yzXOZIojU/?igsh=amx3djQ2dDcyZDN4

Mkuu kama unafanya kwa ajili ya uchawa ni sawa lakini. Kama unafanya kutokana na ujinga then wewe sina cha kukusaidia.
Hayo maden USA anayalipa kwa dola au?
 
Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Mh Ndugai akiwa Spika wa bunge, alishindwa kumfunga kiongozi huyu speed governor, Nani ataweza?

Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?

Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Karibuni🙏
TISS! They need to do ''ze needful''
 
Mkuu kama unafanya kwa ajili ya uchawa ni sawa lakini. Kama unafanya kutokana na ujinga then wewe sina cha kukusaidia.
Hayo maden USA anayalipa kwa dola au?
Anayalipa Kwa makamasi Yako.Your ignorance is no more bearable ,naona unauliza maswali ya kijinga.
 
Mkuu Rabbon usijidanganye. Nchi hii serikali haina pesa. Sababu moja kubwa ni hiyo uliyoandika kwenye sentensi yako ya pili. Hakuna makusanyo ya maana wala matumizi yenye weledi.

Halafu hilo pendekezo la kukopa na kununua meli kubwa za uvuvi ni kwa watu wenye mikakati ya dhati ya maendeleo kwa kutumia rasilimali kubwa walizojaliwa. Watu wenye akili kubwa na upeo mkubwa wa kufikiri.

Sio watu wanaochota hazina ya taifa kwenda kununua ndege eti kufufua shirika mfu bila business plan, vigezo muhimu wala kuzingatia taratibu makini za manunuzi. Wanaachia advantage yote kwa wauzaji na madalali wao! Halafu muda mwingi zina park, au kuwa matengenezoni, detention au wanazurura nazo nchini na duniani wenyewe. Na hakuna anayehoji wala kusumbuka na hilo.

Fahamu tu hii ni nchi ya kitu kidogo; nchi ya watu wadogo (courtesy of Eric Wainaina). Hakuna linalowezekana. Acha Wakorea waje na mimeli yao wavue kwenye deep sea yetu bila mikwaruzo. Hata bila mikataba wanaweza tu kama Wachina na Wathailand wanavyotuibia siku zote bila hata kujua.
Kwa HOJA ulizotoa hapo juu,

Unakubaliana nami kuwa pesa zipo za kutosha, tatizo ni RUSHWA, zinaishia mifumo ya waizi.

Na Kwa kuwa hakuna Uzalendo kuhusu Nchi, watu hawajishughulishi kufikiri Kwa kina Kwa maslah ya nchi.
 
Tanzania hakuna Rushwa Kuna udokozi,kungekuwa na Rushwa Kwa extent mnayotaka kuaminisha watu , Nchi isingeweza kusukuma maelfu Kwa maelfu ya miradi.
 
Wewe acha janja janja........Hata kama kaeleza gazeti nzima speed ya ukopaji imepita maelezo.

Na kumbuka Prof Mkumbo in anyway ataandika uongo tu.
Kukopa walianza kukopa USA na Russia na wanaendelea kila uchao, huwezi kupiga hatua zozote kwa kujifungia ndani.

Hayati JPM alikejeliwa kwa kujifungia kwake humu humu Afrika, leo SSH anakejeliwa kwa kujichanganya kwake na dunia halisi!.

Matatizo yapo vichwani mwetu tu na sio kwingine kokote.
 
Back
Top Bottom