Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

jf ilete option ya kupaste video links kirahisi za kutoka humu jf kirahisi kama ilivo kuoaste kutoka mitandao mingine.


uzi bila ile clip haujakamilika kabisa
 
Hoja yako ina mantiki mno.Lakini mazingira yalivyo anayeongoza nchi sio yeye.Yeye ni 'figure' tu ila genge kubwa lipo nyuma ya pazia.Genge hilo ndilo linaloumiza nchi.Lina nguvu kubwa kuliko mamlaka hslali madarakani.
 
WE GARASA nenda kaharishe huo uvundo wako. Kwanza unakufahamu kwenu ni wapi, una taarifa km mashamba ya babako yako salama au yameuzwa? We nyau una akili ndgo sn km at all unazo. Lijitu lizima eti nchi itauzwa, tutajie ht nchi moja ilouzwa hapa duniani.
 
jf ilete option ya kupaste video links kirahisi za kutoka humu jf kirahisi kama ilivo kuoaste kutoka mitandao mingine.


uzi bila ile clip haujakamilika kabisa
Video link ipi sasa,

Yaani Lulu Yuko na kiongozi wetu wameiwakilisha Nchi!!

Pesa hiyo ya data imekosa KAZI?
 
Reactions: Lax
Mie kinachoniuma zaidi ni kwamba ETI mkopaji ana mpango wa kugombea nafasi aliyonayo uchaguzi mkuu wa mwakani!!!.
Afrika tumelogwa!
ulitaka agombee mamako we bwege? Mwambie basi agombee mamako au ht shangazi yako. we ni maskini mpaka wa akili
 
neno mnada inaendana na ile clip ya mheshimiwa job
Mgogo baada ya klip Ile, anachungwa kama mtoto Kila aendako!!

Iweke kama unayo video hiyo🙏
 
Reactions: Lax
Njia iliyobaki ni coup d'e` tat. Ile mihimili mingine ambayo ingemwajibisha ni vibogoyo na upuuzi mtupu.
 
Inasikitisha kuwa part na shuhuda wa haya yote yatokeayo chini.
 
Inasikitisha kuwa part na shuhuda wa haya yote yatokeayo chini.
Inahuzunisha sana,

Wajukuu zetu wakituuliza, mlikuwa wapi haya yakitokea ,tutaonekana hatuna akili.

Tuzidishe kupaza sauti za HAKI!!
 
Ndugai: Budget ni Trillion 30, katika hizo Trilioni 10 ni Kwa ajili ya kulipa mikopo na Riba,

Halafu kiongozi wetu anaenda kukopa trillion 1.5 watu wanapiga makofi,

Yaani pesa Yako mwenyewe, unaikopa na kulipa Riba kibao unawarudishia kupitia budget na makusanyo.

Ikiwa Ndugai alikuwa sahihi, aliyepo hafai kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…