Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Wewe umenielewa, wako watu wanamaliza degree ya aina moja mfano uhandisi. Mmoja akiwa halmashauri laki 9 mwingine akienda Tanroad milioni 2 na point + allowances. Mfumo huu usharibika tayari na hakuna wa kuurekebisha. Ngoja na sisi tutafute kamba tuanze kula
 
Kabla sijakujibu hilo niambie kwanza kati ya kuingia na kikaratasi au kuuliza wenzio, ni ipi njia rahisi ya kuibia kwenye chumba cha mtihani?
Jibu swali langu mkuu mbona unaniuliza tena?
 
Usipopiga utapigwa ,tena na kitu kizito
Hadi ufikie kubadili wapigaji wa hii nchi ulisha kwenda na maji, wapigaji ni wengi na huwezi kuwa mwema peke yako.
Kikubwa piga kwa akili(huo ndo urefu wa kamba uliyonayo)
Watanzania unawashangaa sana hao hao ndio wakwepa kodi hawatoi risiti kwenye biashara zao halafu wanajifanya wanachukia ufisadi. Dhambi ya kusema uongo na dhambi ya kwenda kwa mpalange au kuua zote ni dhambi tu.
Nani mwema humu?
 
Hakuna dili ambalo mtu wa manunuzi atacheza pasipo kumshirikisha mhasibu.
Supplier ili alipwe kwa wakati inabidi aishi vizuri na mhasibu vinginevyo itakua ni sound tu kila siku.
To me mhasibu is far better kuliko mtu wa manunuzi.
 
Ahsante sana kwa mchango wako
 
Hakuna dili ambalo mtu wa manunuzi atacheza pasipo kumshirikisha mhasibu.
Supplier ili alipwe kwa wakati inabidi aishi vizuri na mhasibu vinginevyo itakua ni sound tu kila siku.
To me mhasibu is far better kuliko mtu wa manunuzi.

Hakuna kitu unajua boss,
Mtu wa manunuzi anakula bila mhasibu kujua chochote,ila mhasibu hali bila mtu wa manunuzi kujua.
(Manunuzi)Napokea hewa,nawasiliana na supplier mm na mhasibu unalipa bila kujua na mpunga tunakula
 
Kwenye kusaini documents hapo hapati chochote?
Hata kama anapata ni ki ji pesa tu na sio pesa, na inategemea na aina ya doc!!zamani pesa zote zilipokuwa zikilipiwa kwenye ofisi ya uhasibu moja kwa moja, na wao ndio wanazipeleka bank, ndipo kulikuwa mhasibu anaonekana kama Mungu Mtu!!kwani ndiye alikuwa na uwezo wa kuchukua kiasi fulani na kuzizungusha kwanza kwenye biashara zake huko, na kukopesha watu kwa riba.
 
Hakuna kitu unajua boss,
Mtu wa manunuzi anakula bila mhasibu kujua chochote,ila mhasibu hali bila mtu wa manunuzi kujua.
(Manunuzi)Napokea hewa,nawasiliana na supplier mm na mhasibu unalipa bila kujua na mpunga tunakula
Nani kakuambia kuna malipo yanafanywa pasipokua na physical verification ya huo mzigo ulionunuliwa?anaefanya verification ya mzigo ni mtu wa finance/mhasibu na sio afisa manunuzi.vinginevyo auditor akija atakubana utashindwa kujibu.so mhasibu huwezi kumkwepa
 
Watanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.

Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
Hapa naungana na wewe 100% now nimeamua nikae mwenyewe kwenye kiofisi changu, kwajinsi tulivyokuwa tunapiga hela sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi, sitamani kabisa kumuajiri mtu kwenye ofisi yangu. Mwizi hataki aibiwe bhana
 
Hahaah waachie na wengine wale asee, mbona we ulikua unakula kwa wenzio
 
Hapa naungana na wewe 100% now nimeamua nikae mwenyewe kwenye kiofisi changu, kwajinsi tulivyokuwa tunapiga hela sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi, sitamani kabisa kumuajiri mtu kwenye ofisi yangu. Mwizi hataki aibiwe bhana
Ukila vya wenzio nawe lazima uliwe kidogo mkuu
 
Uyo supplier wa kutoa pesa nae mwehu Yaan ushinde kwenye mfumo utoe pesa kwa procurements haipo iyo mana akishinda nikudeal na user departments kwa clear specification
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…