Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
bily nipo wala sijalala mbu nasema nao hapa nkilala watanifanya kitoweo hapawe nouma ila usingizi nouma pia jana nikasikia mtu anaaga . Naona mlinzi Ngongoseke kashapitiwa jana Jerrymsigwa kanambia kazi hiyo inataka moyo aswaaa.
Duh aisee ana zali huyo dogo! Ila hii kitu mtu huwez panga kweli? Ukitafuta mtaji wa m20 ukajipigia kura mkuu?
inawezekana mkuu ila nasikia hiyo hela awapewi sijui ni kweli sina uhakika mkuu?
bado mmelala?
mixer mixer otherwise bbs haiangaliki
hii kitu hata unilishe kwa mrija sikuli...
wasema tu ww! wapendelea nn? sousarge?
Nani yko tayar kukesha nami leo humu ndani?
Nani yko tayar kukesha nami leo humu ndani?
Nani yko tayar kukesha nami leo humu ndani?
mi kande na ugali lol!
Mimi apaππππππ
Count on me too people!!!mimiii ppia
hacha miyayusho
im!? unatumia drink gani?