Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

Kwa bahati mbaya hawa wajinga wana immunity fulani kiasi kwamba huwezi kuwagusa kivyovyote.
Hili ndilo kundi linalopaka tope taifa letu,sidhani kama sehemu zingine huu ujinga upo zaidi ya tz pekee.
 
Haya ni moja ya mapungufu ya Saamia....

Na ni alama ya kiwango kikubwa cha ujinga kwenye taifa letu.........

Pia ni ishara kuwa tunaishi kwenye taifa lililopoteza muelekeo na kukosa dira........

Pia ni dalili kuwa tuna kiwango kikubwa cha watu wengi wenye changamoto ya afya ya akili
Nikukosoe kidogo.
Hawa watu sio wajinga bali wanatumia ujinga wa mtawala ili kufanikisha kula yao.

Hawa ni majambazi, wanasifia uongo ili wapate pesa
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama..

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama...

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu..

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima..?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima??

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama👇👇👇👇
View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama 👇👇👇👇👇
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa 👇👇👇
View attachment 2748668
Hawa wamelenga kupiga hela basi! Target 2025.
 
Haya ni moja ya mapungufu ya Saamia....

Na ni alama ya kiwango kikubwa cha ujinga kwenye taifa letu.........

Pia ni ishara kuwa tunaishi kwenye taifa lililopoteza muelekeo na kukosa dira........

Pia ni dalili kuwa tuna kiwango kikubwa cha watu wengi wenye changamoto ya afya ya akili
Inasikitisha sana
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama..

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama...

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu..

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima..?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima??

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama👇👇👇👇
View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama 👇👇👇👇👇
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa 👇👇👇
View attachment 2748668

Lucas mwashambwa, Sir John Roberts mwongozo tafadhali
 
Taifa likishakuwa na uhaba mkubwa wa fursa watu huwa tayari kufanya kazi za hadhi yoyote mkono uende kinywani
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,

Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama.

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama.

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu.

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama👇👇👇👇

View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama 👇👇👇👇👇
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa 👇👇👇
View attachment 2748668
Mtu na akili zako unaitwa chawa wa mama? Tena wengine wanaume kabisa. Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Watu wanafanya kazi kwa hiyari na siyo kwa malipo ya aina yoyote ile.kinachoonekana kufanyika hivyo ni kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Sasa kazi ya hiyari sawa hatujakata ila swali..
  • Nani anaorganise makongamano yao?
  • Nani analipa kodi au ujenzi wa ofisi zao?
  • Nani anafadhili vikosi vyote hivyo kujiendesha nchi nzima
 
Ikiwa mtu anajitoa kwahiyari yake maana yake ni hao hao watakaojitoa kwa hiyari katika kulipia ofisi na kuwavuta wengine
 
Nawafahamu wachache ambao wapo chini ya hii kitu wanapokea posho kila mwezi na kwa sasa kuna baadhi wako maofisini..nchi nzima...
Na sijakataa hiyari ya mtu kifanya chochte ila swali langu halikuwa kuhusu abduction au kufanya kitu pasipo hiari au kufanya kwa kulazimishwa...
Maswali yangu ni machache tu kwako...
  • Nani anawafadhiili kwenye posho zao
  • Nani anawafadhili kwenye ujenzi wa ofisi zao
  • Nani anawafadhili kwenye semina zao na press ambazo wao huitisha na kulipana
  • Nani anafadhili posho za mobile bundlez
 
Ikiwa mtu anajitoa kwahiyari yake maana yake ni hao hao watakaojitoa kwa hiyari katika kulipia ofisi na kuwavuta wengine
Mkuu hao wenyewe wanalipwa posho swali liko pale pale anayewalipa ni nani maana nina urafiki na mmoja wa viongozi wa juu wa chawa wa mama mkoa mmoja hivi
 
Wanalipwa kwa Fadhila na ambao hawajaanza kulipwa wanafanya ili kesho waweze kulipwa....; Kwahio imepelekea Taifa hili kuwa na Warudisha Maendeleo wanaojulikana kama Chawa...
 
Back
Top Bottom