Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

Mkuu mimi ni CCM na mbowe sio kiongozi wangu mbali na kuwa ccm ni mzalendo sana na nchi hii..Na kingine nilichouliza hujajibu mkuu..
  • Nani yuko nyuma ya hizi taasisi?
  • Nani anazi-Fund hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?
  • Nani analipa wafanyakazi wake?
Ukinijibu nitakuwa Na furaha
Akikujibu nitag mkuu😄😄
 
Wanalipwa kwa Fadhila na ambao hawajaanza kulipwa wanafanya ili kesho waweze kulipwa....; Kwahio imepelekea Taifa hili kuwa na Warudisha Maendeleo wanaojulikana kama Chawa...
Hahahaah 🤣🤣🤣
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,

Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama.

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama.

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu.

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama👇👇👇👇

View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama 👇👇👇👇👇
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa 👇👇👇
View attachment 2748668
Wanatumia fursa wanatembea na beats za mbio za 2025 na washamjua kisaikojia anapenda sana sifa. Low self-esteem ndio ikogo hivyo, SSH kwenye Income Pyramid Stata alikuwa yuko chini sana as a person, kuwa na low self-esteem sio ajabu.
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,

Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama.

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama.

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu.

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama👇👇👇👇

View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama 👇👇👇👇👇
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa 👇👇👇
View attachment 2748668
Tazama tu sura zao ndo utajua kuwa wote hao ni WACHAWI wenye njaa
 
Back
Top Bottom