Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mwacheni Majaliwa , anapiga kazi huko Ikulu.Wenye Macho tunaona!,
"Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za "Makamba"
Naona "Mjomba" Cheff maarufu wa
"I-Go-Unga"sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke!
"Majaali -wa" yamesakamwa toka pande zote za utamu,kuanzia "Asali- Ganga"
Mpaka "Msogee-Zenji"
Sasa Wanamtaka Mama Saa-100, Avunje Nyumba ili tu.
Waondowe "Katelephone" kalikofungiwa ndani na "Makufuli."
Ni kwamba kwa sasa ni "katelephone"pekee "aliyebaki" miongoni mwa "Fenicha" zilizokuwa zimefungiwa kwa "Makufuli"
Sababu "Katelephone" kanaongea -ongea sana bila hata kubonyezwa "Button".
Na mbaya zaidi...kako karibu na Chumba anacholala Mama!
Ni ngumu misheni ya "twenti-thati"kukamilishwa bila kuondoa fenicha zilizokuwa zimefungwa na "Makufuli"
Sasa Zinafunguliwa kwa "Rosti- Tamu"
zinafungwa kwa
"Ma- Kamba" ya Ka- taani.
Ndio Maana "Kaa-Body" iliwekwa ndani ya Uzio.huku ikiwekewa
'KK-Guard"24×7×12.
"Look-Waive" iliwekwa ndani ya Uzio.huku ikiwekewa
"Kk-Guard" 24x7×7×12.
"Pale-pale" Pakasogezwa nje ya Uzio.
Sasa panacheza Golf huko "Mara-wee".
"Bash- Raw" ikawekwa mjengoni ili ijiwivishe yenyewe huku ikwa na 'Kk-Guard" 24×7x12..
"Kale-Maini" ikasogezwa 'Chai- toto" ipumzike!
Wakati Nguzo ya Taa- nee -sii -koo! ikifungwa Ma-kamba Mengine ili isinyanyuke kabla ya
"Sisi- Mbioni" nyingine ya Mjomba.
"Sio-Raw" ikapelekwa "Zoom-By-Bwey".
"My-beyi" Ikaachwa ipumzike bila kuchafua Bahari.
Maana Tufani ya Bahari ingeupukutisha kila Mnazi.
Na Fenicha zilizobakia zilizofungwa na "Makufuli" kwa Sasa,ni zile tu ambazo zimekubali kula "Asali"na "Rosti-Maini."
Majaa-liwa yatatokea Kwa kwa "Kate-phone"kupasuka kioo!
Tanzania.....
"Tunacheka ya Kulia"
"Tunalia ya kucheka"
"Bottom-Up" yetu ni zaidi ya ile ya "Root-Raw" kule
"Kanye West"
Tobaa!
Alamsikhi.
10101.
Mlitaka aje Kariakoo?