Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Mwacheni Majaliwa , anapiga kazi huko Ikulu.
Mlitaka aje Kariakoo?
 
Je Btoz samy anayajua haya!?
 
Hapa my beyi nimepotea msaada kituoni
 
Acheni siasa nyepesi za kutafuta huruma ili kuficha udhaifu,huyo PM Kama Ni failure Ni failure tuu..

Sidhani Kama.Rais anaweza mtaka PM ajiudhuru ili aanze kuunda Serikali upya,Hakuna kitu Kama hicho..

Hizi Ni kelele tuu Kama zile hupigwa kwa kina Mwigulu, January na Nape.
 
Na unawezaje kumuwajibisha "PM" na Rais akawa bado msafi!

"Hizi sio kelele tu"
Labda kwako uliejaza asali kwenye fuvu badala ya Ubongo.

Wewe unayetumia Meno kutazama badala ya Macho!

Unayetumia Nguvu ya Tumbo,badala ya Nguvu ya Hoja!
Asali -Gang huwezi ona hiyo,sababu kijani imetawala Mzunguko wa Damu 100%
 
JK vs Lowasa..Rais ndio anamtaka PM ku sepa chukukia kesi Kama hii ya kufeli kuokoa maana Ni kazi ya PM au kesi Kama ya Dawasa..

Chubguza anavyoongoza Rais Samia Mara nyingi anazungumzia mipaka ya uongozi chini na juu na katoa nafasi ya Kila mtu kuwajibika kwa nafasi yake..
 
Huwez amini nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…