Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

10101 sio mchezo !!
 
Akimtoa Majaliwa na kwa jinsi Majaliwa anavyokubalika na watu kuliko yeye nadhani ndiyo atakuwa amempatia tiketi yake ya kuwa Rais wa JMT
Haswaaa wala haina ubishi. !! Halafu jamaa ni presidential material !!
 
Akimtoa Majaliwa na kwa jinsi Majaliwa anavyokubalika na watu kuliko yeye nadhani ndiyo atakuwa amempatia tiketi yake ya kuwa Rais wa JMT
Ni Kweli,

Bt nyumba iliyofitinika, ni ngumu sana kusimama.

Mwisho wa CCM umefika, wagawane tu fito tuanze UPYA.

Tupate KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Ameeeeen.
 
Vp tena CIA mgumu:

Me nasimamia HAKI kusimama ktk Nchi, sikai upande mmoja na UOVU na HILA so kama IPO HILA nyuma ya MP Niko naye.

Bible says,Zaburi 34:19;

Mateso ya mwenye HAKI ni Mengi lakini BWANA humwokoa nayo yote.

Ameeen.
Ameen, ndicho nilichokuwa nataka nikisikie kutoka kwako mtumishi
 
Someone slender HV graduate, hairless son of the serial mountains, arrogant, four eyes favorite of the right arm throne..........................the worst is quickly loading which won't wait until such time to materialize.......a game of dirtiness is marring the land
 
Kwamba "katelephone kupasuka kioo".

That's very bad move, Amani itawale, washindwe na walegee,

Waingie wenyewe ktk mashimo waliyoyachimba, njia Yao iwe utelezi.

Zab 34: 19 says;

Mateso ya mwenye HAKI ni Mengi lakini BWANA humwokoa nayo yote.

Ameeeeen.
 
Ameen, ndicho nilichokuwa nataka nikisikie kutoka kwako mtumishi
Amen, means Let it be as it was said, au NA IWE HIVYO.

Mwanadamu amepewa Uwezo wa kuumba kupitia neno la kinywa chake.

Tunapomalizia AMEN, tunaweka SEAL.

Ameeeen.
 
kumfuu zishaanza ndani ya CCM, sisi macho yetu - chama ni lla kwao wacha waparuraneee weee mshindi akipatikana atuongoze 2025 hatuna namna.
 
Wanasiasa wa Tanzania waende Kenya wakajifunze kwa wenzao ujasiri wa kuendesha siasa. Waachane tabia hii ya fisi kusubiria mkono wa manadamu uanguke kwa vile akitembea unacheza kushoto kulia.
 
The likes of "Rost-Tamu" is very likely licking his lops in anticipation of another handsome "payday" like he did with the
"SYMBION"- saga!
Several years ago.
There are vultures waiting to feed !

OMG....

ALAMSIKHI!
10101.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…