Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Yajayo hayatabiriki!

Kama aliingia kwa wizi wa kura sioni shida yoyote akipigwa chini. Kazi anayoifanya, mtu yoyote anaweza kuifanya. Hii nchi haikuwa ya Magufuli useme mtu aliyemteua yeye kuwa ni muadilifu. Piga chini hao wahuni wote waliowekwa na Magufuli, kisha CCM waendelee kufanyiana hujuma mpaka hicho chama kichafu kikae pembeni.
 
Akimtoa Majaliwa na kwa jinsi Majaliwa anavyokubalika na watu kuliko yeye nadhani ndiyo atakuwa amempatia tiketi yake ya kuwa Rais wa JMT
Aende tu ACT akatulie na mzee wa michongo Zito Kabwela
 
Hata wakimuua kwetu ni poa tu. Mtu yoyote alishirikiana na dhalimu kunyanyasa wasiowasujudia ni fresh tu akifanyiwa kitu mbaya
Kwenu ukimaanisha wewe na mumeo na watoto wenu pasi na shaka
 
Kama kua hoja za msingi zijibiwe na kufanyiwa kazi, na kuwajibika wawajibike au wawajibshwe.

sio ramli chonganishi na kutafuta mchawi nani
 
Ramli mkuu.

Wananchi tunauona jamaa anafit kustaafu kabla hajastaafishwa
 
Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia

Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?

Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…