Nani yuko nyuma ya Nape? Mbona ana dharau kiasi hiki?

Dogo kiburi sana. Ndio think tank wa sterling wetu..
 
Hao waache hivyo hivyo na viburi vyao.
 
Kutesa kwa zamu ndiyo mfumo wa utawala wa nchi hii

Ova
 
Huyo nafikiri hayupo sawa kiakili.Kwa kuwa Kikwete aliwahi kusema Mwenezi wetu hauwezi kujua ataongea kitu gani.Analopoka tu.Kwa ufupi hajitambui na hajielewi.Yupo yupo tu.Muda utamhukumu.

Angekuwa na akili mpaka sasa angekuwa amejifunza yale yaliyomkuta enzi ya Magufuli!! Ajue Dunia inazunguka yale yaliyomkuta yanaweza kujirudia na hapo hata kuwa na wa kumlaumu. Samia kama Magufuli sio Tanzanaia ,wanaweza kuondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo hivyo hana budi kuheshimu nchi na wenye nchi ambao ni raia. Asivimbe kichwa kama mtoto wa kambo.
 
Mzee Nnauye ndiye alitunga nyimbo za hamasa za Chama enzi za Chama kushika Hatamu.
Kwa hiyo kijana wake anakula matunda aliyoachiwa na mzee!

Hii timu ya akina Makamba, Nauye, Kinana, Samia inajulikana ilikotokea. Huu ni wakati wao hadi watakapokwaa kisiki.

Kisiki kipo, wavute subira tu watakifikia.
 
Kwa hiyo kijana wake anakula matunda aliyoachiwa na mzee!

Hii timu ya akina Makamba, Nauye, Kinana, Samia inajulikana ilikotokea. Huu ni wakati wao hadi watakapokwaa kisiki.

Kisiki kipo, wavute subira tu watakifikia.
Wachawi ni watu wenye roho mbaya sana ndo maana, kwa kiasikikubwa, maisha yao yanakuwa ya mateso tu siku zote!
 
Ujinga sio tusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…