Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .
Ukija kwa malls , wababa wa 50 wanakutongoza.
Nakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai, jirani yangu akanitongoza...!
Ulikuwa kwenye mahusiano tayari? Ukiwa mwanamke mzuri wanaume siku zote hatuogopi umri kwa kuwa hiyo ni free size, ni one size fits all.
 
Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi

Usiache
Kwa wanavyo penda hela ,hata ukiwa zile type za kimoja chali kwao, sawa na wengi siku hizi ndio wanawatega wazee.
 
Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .
Ukija kwa malls , wababa wa 50 wanakutongoza.
Nakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai, jirani yangu akanitongoza...!
Wewe wa kutongozwa na vitoto vyenye 30 na wababa wa 50, tuseme una 40?

Hata hivyo, mwanamke mwenye 40, ninakustaajabia kushangaa kutongozwa na mfifty, kwamba ni mzee sana kwako huyo!
 
Masai dada ni controversial character, anapenda dogo dogo ili waichape vizuri, mara anapenda kusuguliana vissme, mara watu wazima wenzake. Very controversial!!
Nilishawahi kuona funza kwenye embe, nikamuona tena kwenye papai, lakini sijawahi muona kwenye limao.
Wakati mwingine kuwa mtamu sana ndiko kunakufanya uliwe.
 
Back
Top Bottom