Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .
Ukija kwa malls , wababa wa 50 wanakutongoza.
Nakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai, jirani yangu akanitongoza...!
Sasa ukiwa kwenye 40s unategemea kutongozwa na rika gani?
Wenye 30s wanahisi wanakuweza, wenye 50s wanajua wewe ndio size yao..
Hakuna mbaya hapo!!
 
Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi

Usiache
Duh hii ni changamoto sn
Unamwambia kijana ningewahi ningekuzaa, haelewi😄😄gen z ni tatizo
Njoo kwa mibaba ya 60 ss🙌🙌😁😁

Mambo ya kafara yashakua mengi acha tutulie tu..
Anyway; mazoezi nitafanya kwa faida yangu niwe na afya
 
Why?
Mi mazoezi labda nifanye ili niwe fit tu ila sio kupungua 😁😁
Btw, how r u?
Ur missed
Hahaha umeniwahii pia! Nakumiss mamtu😍
Nasemea hizi za kutongozwa na vitoto inanikera sana! Mizee nayo si haba nilikutana na zee 60+ kabisa huyu linaomba no🫢🙄

Mimi nmeongezeka aisee hizi vacation tunaendaje sasa mwili ka toto tembo🤣
 
Back
Top Bottom