masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .vyovyote unavyofanya kwenye maisha
hakikisha unafanya mazoezi
usiache
Ulikuwa kwenye mahusiano tayari? Ukiwa mwanamke mzuri wanaume siku zote hatuogopi umri kwa kuwa hiyo ni free size, ni one size fits all.Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .
Ukija kwa malls , wababa wa 50 wanakutongoza.
Nakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai, jirani yangu akanitongoza...!
Mimi bibi kwako.Kipenzi
Ulifanya mazoezi,watakutaka?vyovyote unavyofanya kwenye maisha
hakikisha unafanya mazoezi
usiache
Wanaume hamna jema, sasa mtu anaweka mwili wake sawa mnamtongo za wa nini?Wanawake bhana,yaani mtu anahamasishwa afanye mazoezi ili atongozwe na rika zote!😁
Halafu awe anawapa/anawauzia au namna gani?
Kumbe weweni Ke?Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .
Ukija kwa malls , wababa wa 50 wanakutongoza.
Nakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai, jirani yangu akanitongoza...!
😂 Jf banaNakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai
Kwa wanavyo penda hela ,hata ukiwa zile type za kimoja chali kwao, sawa na wengi siku hizi ndio wanawatega wazee.Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?
Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi
Usiache
Wewe wa kutongozwa na vitoto vyenye 30 na wababa wa 50, tuseme una 40?Miaka 10 nyuma nilipita hiki kipindi. Vitoto vya chuo vinakutongoza, vina miaka 30 .
Ukija kwa malls , wababa wa 50 wanakutongoza.
Nakumbuka nilikuwa nakwenda holiday na Air Dubai, jirani yangu akanitongoza...!
Nilishawahi kuona funza kwenye embe, nikamuona tena kwenye papai, lakini sijawahi muona kwenye limao.Masai dada ni controversial character, anapenda dogo dogo ili waichape vizuri, mara anapenda kusuguliana vissme, mara watu wazima wenzake. Very controversial!!
Sawa kabisa mkuu Benedict!!Nilishawahi kuona funza kwenye embe, nikamuona tena kwenye papai, lakini sijawahi muona kwenye limao.
Wakati mwingine kuwa mtamu sana ndiko kunakufanya uliwe.