jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia.
Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma dhidi ya Rais wa Yanga kutoka kwa mzanzibari feitoto ikiwa ni tuhuma nyingine masaa machache dhidi ya Timu ya ukombozi Afrika yaani wananchi. Anayemsaidia na kumpanga namna ya kutuhumu ni mwanazanzibar ambaye ni ndugu na mwanazanzibar aliyetuhumu tena kule upande wa zanzibar.
Hivi GENTAMYCIME hii kitu umeielewa?
Mimi kama mwanayanga na mwananchi kindakindaki napata mashaka kuwa hata game yetu hapa nyumbani tulihujumiwa.
Kisa ni nini? eti kisa mama katoa mshiko wa kuisupport michezo?
au kisa ni nini, kwamba hatutaki aweke historia yake kupitia Dar Young Africans?
WITO: Dar es Salaam Young Africans ni Team ya kuweka historia pale pasipotarajiwa. Tulimchapa Sports Club Villa Uganda tukiwa na Edibily Jonas Lunyamila tukarejesha ubingwa wa Africa Mashariki na kati nyumbani, sasa ni zamu ya kumtungua USM ALGER 2-0 pale Algeria na kuuridisha ubingwa wa Africa.
ONYO: Wahujumu washughulikiwe vilivyo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA, DAIMA MBELE....!!!