Nani yupo nyuma ya Feitoto? Kuihujumu Yanga wakati huu ni kumhujumu Rais Samia

Eng Hersi yuko nyuma ya sakata
 
namtilia mashaka mzee MBASI TISPO BUKILA!
 
Jamaa unandika hovyo kiasi kwamba habari yako haivutii hata kusoma.... kichwa cha habari tofauti kabisa na kilichomo ndani...
nitajirekebisha kwenye threads zijazo.
 
Acha uoga mdomo hauzuii Mayele kufunga magoli.
Mayele 2
Azizi K=1
3 ya kibingwa
 
Thubutuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ndio hiyo, hutaki kula Sumu ya Panya...[emoji1787]

Na Jpili ujitokeze ktk Maandamano ya kupokea KOMBE [emoji16][emoji460][emoji460][emoji460] goli za leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…