Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

Kwani kuna visiwa vingapi vikubwa na vizuri kuliko Zanzibar na havijawa Hiyo Dubai?

Kwanza Zanzibar ikivunjika hukohuko zenji kutakuwa na Wapemba na waunguja. Machogo pia huko Zenji
Zanzibar ni eneo la kimkakati kijiografia kati ya Africa, Mashariki ya kati na Asia. Inaweza kuwa transshipment hub kubwa duniani kama Singapore.

Pia ni rahisi pia mataifa ya GCC kuwekeza kwa ukubwa katika Zanzibar huru kuliko Tanzania ya sasa.
 
Acha porojo, wananchi tulishachoshwa na huu muungano wa ovyo, wakitaka iwe sawa tuwe na shirikisho, full stop.
 
Hakuna kifungu kilisema akishakuapa nchi inakuwa mali yake

Yeye ndiye ameapa kulinda nchi na katiba yenyewe.

Sisi wananchi hatukuapa.
Wao ndio wamiliki wa nchi sisi ni wananchi yaani watoto wa wamiliki wa nchi😆

Au uliwahi kuapa kuilinda hamhuri?
 
Waislamu mnapenda kutubagua sana, lakini sisi mbona hatuwabagui, mnawaonga masheikh wanatukana mapadri kwanini? Hamtaki kuambiwa ukweli kwanini?
 
saa100 ndo yuko nyuma ya hilo vuguvugu period!
 
Muungano huu una shida moja kuu. Kwamba Tanganyika ilifichwa. Ikifichuliwa ikawa wazi ikapata utambulisho, basi mambo yataenda vizuri tu.

Wala hamna haja ya "heated debates about nothing" Ndiyo maana katiba mpya ikipatikana swala la Serikali 3 kuunda Muungano ni lazima. Natumai mmenielewa.
 

Serikali tatu inaua muungano pia
 
Yeye ndiye ameapa kulinda nchi na katiba yenyewe.

Sisi wananchi hatukuapa.
Wao ndio wamiliki wa nchi sisi ni wananchi yaani watoto wa wamiliki wa nchi😆

Au uliwahi kuapa kuilinda hamhuri?
Kuapa ni kuripiti maneno tu kwenye karatasi na anatuapia sisi wenye nchi. iliyokuwa haina dini
 
Subiri uone
 
Subiri uone
Nisubiri kitu gani ? Unavyotiwa bakora joga wewe ? . Yaani Okt29 ulijificha msituni mwezi mzima ukigombana na makima kupata chakula . Nakuona hivyo unavyoandika unatetemeka kwa woga
 
Kwenye siasa, kosa kubwa si kukutana na changamoto; kosa ni kuona changamoto na kuamua kuiacha ikue.

Hitilafu Ya Mfumo

Tatizo kubwa ni kuwa Nyerere alikuwa na chuki zake za kidini kwa uislamu hasa zanzibar kabla ya uhuru , na waingereza walikuwa na interest zao na waliona serikali iliyopata uhuru Zanzibar haiko upande wao , kwa hivyo wakamtumia Nyerere kuivamia Zanzibar na kuichukuwa.

Kwa mazingira hayo hata miaka 1000 Zanzibar haiwezi kukubali udhalimu huo , tutaendelea hivi hivi na unafiki na kulitafuna gogo la Tanganyika mpaka lianguke kama mchwa. Solution ni kama alivyosema Lissu ni kukaa na kuzungumza namna gani ya kuuvunja au namna gani ya kuunda upya kwa amani , au kama tunageuka mbogo tupigane na mwisho tukae tutafute solution
 


Anae uvunja Muungano ni Julius Nyerere Mwenyewe.

Maana Abeid Amani Karume alisha ukataaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…