Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
🗑️Wakati Tanganyika inabatizwa hapakua hata na wakristo 20k Tanganyika
🗑️Wakati Tanganyika inabatizwa hapakua hata na wakristo 20k Tanganyika
Umewahi zisoma barua walizoandikiana mkwawa na Abu shiri?..wanaitaja 'tanga na nyika', kipindi hicho baina ya iringa na Tanga ni nyika kweliAcha vichekesho.
Babu zetu wamesoma shule za missionary na walikuwa wakristo. Na hiyo ni kabla ya uhuru wa Tanganyika.
Swali gani?Umeona sasa jibu swali?
Yeah.... atleast ume Observe hiloBaada ya October 29 niligundua weakest point ya Tanzania ni muungano.
Watanganyika hawawezi kugombana kisa Dini au kabila, ila muungano una gape la utaifa wa Zanzibar
Mje na facts,pugu ilijengwa early 1900s na minaki,mazengo hata walutheri huko kaskazini ni early 1900s🗑️
NdioWewe sio mnufaika?
Kabla ya hizUsiwe unanitag kwa wapuuzi wanaotaja nchi iliyokufa kibudu 26/4/1964
HUDUMA ZOTE ZINATAKIWA KUGAWIWA AS MUUNGANO.Wabunge/wawakilishi wa Zanzibar hawajasema muungano uvunjwe,hawajataja Tanganyika bali wametaja Tanzania bara na kuzungumzia gharama za matibabu,musukuma mkurupukaji kama wengine tu
Kwa hiyo wewe huoni kuwa sa... kaharibu mali za tanganyika?Bandari zetu zote kauza na kuanza kujenga bandari ya kwao ya mangapwani.Lengo la kuuza bandari za Tanganyika ni kuua ushindani kwa bandari yake ya mangapwaniWanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS Ă kihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Serikali tatu utazugharamia wewe?..muundo wa sasa wa muungano umekwaza wapi maisha yako ya kila siku?Kabla ya hiz
HUDUMA ZOTE ZINATAKIWA KUGAWIWA AS MUUNGANO.
sasa kama kuna
TANZANIA = MUUNGANO
ZANZIBAR = NCHI
kwanini TANGANYIKA Isiwepo as nchi?
haki na usawa uko wapi hapo?
Mje na facts,pugu ilijengwa early 1900s na minaki,mazengo hata walutheri huko kaskazini ni early 1900s
| Eneo la sasa | Hali ya Ukristo kabla ya uhuru |
|---|---|
| Kilimanjaro | Wakristo wengi (hasa Walutheri na Wakatoliki) |
| Mbeya | Wakristo wengi |
| Iringa | Wakristo wengi |
| Ruvuma | Wakristo wengi |
| Kagera (Bukoba) | Wakristo wengi |
| Mwanza/Mara | Ukristo ulikuwa umeenea sana |
| Tabora | Mchanganyiko wa Uislamu, Ukristo na dini za jadi |
| Dodoma | Mchanganyiko |
| Morogoro | Mchanganyiko |
| Tanga | Uislamu wenye nguvu pwani, Ukristo bara |
| Pwani | Waislamu wengi |
| Lindi | Waislamu wengi |
| Mtwara | Waislamu wengi |
| Dar es Salaam | Mchanganyiko, lakini Uislamu ulikuwa na ushawishi mkubwa |
| Kigoma | Mchanganyiko wa Uislamu na Ukristo |
Akili huna wewe, mkapa aliwapa TICTS hiyo bandari kwa miaka 25, mbona hamkusema kauza?Kwa hiyo wewe huoni kuwa sa... kaharibu mali za tanganyika?Bandari zetu zote kauza na kuanza kujenga bandari ya kwao ya mangapwani.Lengo la kuuza bandari za Tanganyika ni kuua ushindani kwa bandari yake ya mangapwani
UISLAMU NI DINI YA HAKI.Mje na facts,pugu ilijengwa early 1900s na minaki,mazengo hata walutheri huko kaskazini ni early 1900s
Mwisho wa matusi yenu ni sabasabaAkili huna wewe, mkapa aliwapa TICTS hiyo bandari kwa miaka 25, mbona hamkusema kauza?
Mangapwani itauaje bandari ya dar?..una ubongo kichwani au haja kubwa ya mange kimambi?
Kamkoromee babu yako Nyerere kwa kukivamia na kuuwa maelfu ya watu. Wacha karma iwapigeKwani Simai anasemaje?
Hovyo kabisa kanchi haka
Unazungumzia makadirio wakati sensa ya 1958 ilisema waislam ni 66% na wakristo ndiyo walikua wachache wakizidiwa na waabudu dini za jadiTafiti za kihistoria zinaonyesha kuwa kufikia 1957 (miaka minne kabla ya uhuru), Wakristo walikuwa takriban 25% ya wakazi wa Tanganyika.
Waislamu walikuwa wengi katika maeneo ya pwani na miji ya biashara, huku sehemu kubwa ya watu waliobaki wakiendelea kufuata dini za jadi za Kiafrika.
Tatizo ni kwamba hakukuwa na sensa ya kitaifa iliyochapisha idadi ya Wakristo kwa kila mkoa kama ilivyo leo. Mikoa ya sasa mingi haikuwa katika mipaka yake ya sasa. Hivyo tunaweza kutoa makadirio ya maeneo, si takwimu rasmi za kila mkoa.
Makadirio ya hali ya dini Tanganyika karibu na mwaka 1957–1961:
Pia kumbuka kuwa mwaka 1960 kulikuwa na zaidi ya mashirika 80 ya kimisionari yaliyokuwa yanafanya kazi Tanganyika, jambo lililoonyesha ukuaji mkubwa wa Ukristo katika kipindi cha ukoloni wa Waingereza.
Eneo la sasa Hali ya Ukristo kabla ya uhuru Kilimanjaro Wakristo wengi (hasa Walutheri na Wakatoliki) Mbeya Wakristo wengi Iringa Wakristo wengi Ruvuma Wakristo wengi Kagera (Bukoba) Wakristo wengi Mwanza/Mara Ukristo ulikuwa umeenea sana Tabora Mchanganyiko wa Uislamu, Ukristo na dini za jadi Dodoma Mchanganyiko Morogoro Mchanganyiko Tanga Uislamu wenye nguvu pwani, Ukristo bara Pwani Waislamu wengi Lindi Waislamu wengi Mtwara Waislamu wengi Dar es Salaam Mchanganyiko, lakini Uislamu ulikuwa na ushawishi mkubwa Kigoma Mchanganyiko wa Uislamu na Ukristo
Kwa kifupi:
1880–1900: Wakristo walikuwa chini ya 1% katika maeneo meng
1914: Ukristo ulikuwa umeanza kuenea lakini bado ulikuwa dini ya wachache
1957: Wakristo walikuwa karibu 25% ya wakazi wa Tanganyik
1967: Sensa ya Tanzania ilionyesha Wakristo wameongezeka hadi karibu theluthi moja ya wakazi, sawa na Waislamu kwa makadirio ya wakati huo.
Hamfanyi chochote , October 29 mlikuwa mkiuliwa kama ma zombie na hamkufanya chochote hata kujiorganise mnashindwa . kazi kuandika matusi humu kusifia kitimoto , ulevi na papuchi.Mwisho wa matusi yenu ni sabasaba
Umewahi zisoma barua walizoandikiana mkwawa na Abu shiri?..wanaitaja 'tanga na nyika', kipindi hicho baina ya iringa na Tanga ni nyika kweli
By the way palikua na ziwa Tanganyika likiitwa Tanganyika kabla hata karl pieters hajazaliwa
1900 palikua na wakristo chini ya buku mzizima
Late 1800s walutheri wapo tabora ndiyo wanaanza kuhubiri msalaba,
Ukristo Tanganyika umeenezwa kuopitia huduma za jamii(shule, hospital,mitumba),sasa tafuta vilianza lini?
Unazungumzia makadirio wakati sensa ya 1958 ilisema waislam ni 66% na wakristo ndiyo walikua wachache wakizidiwa na waabudu dini za jadi
Kwenye andiko langu nimesema ukristo ulianza hubiriwa late 1800s na kwamba early 1900s walikua hawafik 20k,naona umeniunga mkono
Maana hata Nyerere alibatizwa sekondari baada ya kumsoma Julius Caesar na kuvutiwa nae akachukua hadi jina,sasa Nyerere alikua sekondari lini?