Sisi na ivory coast tumefuatanasakho alikuja bongo akiwa amekuwa MVP wa ligiya senegal, kwa taarifa yako ivory coast siyo ligik ubwa afrika,usichanganye ma fail ya mafanikio ya teams za taifa na ligi ya ndani, senegal, ghana, ivory coast, mali ,burkina faso ligi zao za kawaida sana...ndiyo maana simba kaibeba ligi ya bongo ina teams 4 afrika wao hawana
icho sio kigezo ww KOLOsakho alikuja bongo akiwa amekuwa MVP wa ligiya senegal, kwa taarifa yako ivory coast siyo ligik ubwa afrika,usichanganye ma fail ya mafanikio ya teams za taifa na ligi ya ndani, senegal, ghana, ivory coast, mali ,burkina faso ligi zao za kawaida sana...ndiyo maana simba kaibeba ligi ya bongo ina teams 4 afrika wao hawana
kwann uwashindanishe sasa ukijua ,mmoja ni mzoefu wa ligi mwingine ndio anaanza ligi hii, na halikotoka alifanya vizuri zaidi ya uyu wa hapa kwenu,Ila kocha Luc hakukosea huko ivory coast wanamjua chama!
Tupo Tanzania ambapo tunawaona wote wawili, Ivory Coast hawajawahi kumuona Chama basi utakuwa hauna akili kuwashindanisha sababu chama tayari kaishacheza muda Tanzania ,na aziz ndio anaanza
mnawashindanisha kwa angle gan? Hili tuwalinganisheNenda Zesco kawaulize pia chama ni nani.
Nenda CAF kawaulize pia chama ni nani.
akili yako haina akiliNenda Zesco kawaulize pia chama ni nani.
Nenda CAF kawaulize pia chama ni nani.
kama ni NBC tusubiri angalau michezo 10+ ndipo muanze kumtaja mnae ona ni boraUkienda huko nako watakuambia nenda kawalinganishe wakiwa kwenye ligi moja.
This is a NBC league issue
Mlipoenda kwao aliwafanyaje?Duuuuh! Huyu alikuja bongo akala za kutosha na manula alikuwepo golini ndio aje mkimbia leo?
Chama hata timu ya taifa hana namba anazidiwa na Bwalya.,πππππππππππicho sio kigezo ww KOLO
Kwan Aziz Ki angekua mchezaji mzuri, mbna huki berkane hakutakiwa? Yaan hataa kuuliziwa nehiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CHAMA ni overrated player, sioni cha ajabu kwake, Binafsi bila upendeleo kama mimi ni kocha na nina namba 10 hao wawili, basi nitampanga AZIZ KI afu bench CHAMA.
AZIZ KI anakuoffer vitu vingi kuliko CHAMA, timu ikizidiwa kidogo hata kukaba ni ngumu kwake.
Ujinga mkubwa sana kulinganisha kipaji cha Mpira kama Aziz Ki na yule Chama.
Chama ameprove kufeli kwenye mifumo ya kiuchezaji alipokwenda Berkane na hakupata namba.
Mechi na nkana na mechi na as vita alizoamua matokeo ni ndogo au kuishia kwenu raundi ya awali kwenye michuano ya caf kunawatoa ufahamuchama mchezaji wa mechi za ndondo ukimpa mechi kubwa anageuza kibwengo
azizi ki hafai kufananishwa na chama mchazaji wa mechi za geita,ndanda
nacho shukuru mechi zake alizo fanya vzr ni za kuhesabu na wewe una kili hilo pale hakuna mchezajiMechi na nkana na mechi na as vita alizoamua matokeo ni ndogo au kuishia kwenu raundi ya awali kwenye michuano ya caf kunawatoa ufahamu
Umezungumzia mechi ndogo nimekutajia chache za kimataifa hapo nimeacha za kaizer Chief labda unitajie mechi kubwa za Aziz kinacho shukuru mechi zake alizo fanya vzr ni za kuhesabu na wewe una kili hilo pale hakuna mchezaji
Mechi kubwa ya azizi ki wanazozijua ni alizocheza na simbaUmezungumzia mechi ndogo nimekutajia chache za kimataifa hapo nimeacha za kaizer Chief labda unitajie mechi kubwa za Aziz ki
Washukuru tusingecheza na timu yake wasingemuonaMechi kubwa ya azizi ki wanazozijua ni alizocheza na simba