Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

Acheni jamani Triple ni kitu ingine japo kwa spid Azizi Ufunguo yuko Vyedi

Mpira sio spidi tu!!ni akili na maarifa kama una spidi na huna akili unakuwa kama moloko tu kukimbia bila mpangilio..CHAMA NDIO DAKTARI WA SOKA HAPA NCHINI
 
Hakuna mchezaji au kiongozi yoyote wa Simba asiyejua K Aziz ni nani, Barbara alipiga magoti na kulia apate Saini yake ikashindikana.

Manula aligomea mchezo na Yanga kisa Azizz K.

Jamaa unaongea takataka sana yaani...hv una familia mkuu??
 
Ki ilikuwa makosa kusaini yanga,ilitakiwa awe belgium,france league 2 n.k.

Kwa kuangalia kipaji na mjengeko wa mwili anafaa sana.

Didier drogba nilimuona mara ya kwanza akiwa ligi ya ufaransa miaka mingi nilipomuona mara ya kwanza niliwaambia watu wa karibu huyuni mchezaji mzuri sana sijui kwanini yupo france enzi hizo hajulikani kabisa,badae akaja chelsea,wale watu wakaniambia dah,ulisemaga aisee....

Ki nimemuona mara ya kwanza game na simba.
Nikajisemea wakala wake ni mpumbavu sana,ilibidi ampeleke ulaya hata timu za daraja la nne,na uhakika angefika hata zile national league.
 
Wakuuu hebu naomba Chama apewe heshima yake.....
Yaani kitakwimu Aziz Ki haingii hata robo kwa Chama yaani ni kama kumlinganisha Ibramovich na Pele[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2334150
 
Mwandiko mzuri afu pumba
 
Sio sakho2 hata sadio kanoute aLikua MVP paLe maLii
 
Ushabikii maandazi umetumia Ku fan ya. Comparison
 
Mbinu za makocha2 nd iLiamua mech chama aLishine first haLf second half aziza ka shine
 
Kwan Aziz Ki angekua mchezaji mzuri, mbna huki berkane hakutakiwa? Yaan hataa kuuliziwa nehiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzake Karim kaenda uLaya ye kaja uswahiLin
 
Mpira sio spidi tu!!ni akili na maarifa kama una spidi na huna akili unakuwa kama moloko tu kukimbia bila mpangilio..CHAMA NDIO DAKTARI WA SOKA HAPA NCHINI
Mfano mzuri ni rodri pale man city akiLiii mingiii
 
Jamaa unaongea takataka sana yaani...hv una familia mkuu??
Na ana waToto tatizo tunaendekeza ushabiki kwenye ukweli tuseme ukwelii tupeni data zao wote tuone digits never lie kwenye football career zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…