Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Asante kwa kunishauri hadi sasa sijarudi home nipo hapa kwa mshikaji wangu
 
yeye anapokusaliti uwa anakwambiΓ , kwan ww wakiume au mwanaume. wacha ufala umwambie itamsaidia nin sasa, wew mchukue uyo mzinz mwenzio mkacheki afya ujue unaanza PrEP ama vp
 
Hivi ukimwi bado upo, si tulikubaliana covid imereplace huyo mduduπŸ˜•πŸ˜•
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] yaan jeshi linachezewa hivi? Nadhani tuwapeleke ukraine wakaone thamani ya jeshi
 
yeye anapokusaliti uwa anakwambiΓ , kwan ww wakiume au mwanaume. wacha ufala umwambie itamsaidia nin sasa, wew mchukue uyo mzinz mwenzio mkacheki afya ujue unaanza PrEP ama vp
Ebu sahihisha kidogo hiyo kauli yako Mimi sio mzizi na wala sijawahi kumcheat mpenzi wangu sema Hilo tukio limetokea sikuwa na dhamira hiyo
 
Ugumu upo wapi funguka nikuongezee mbinu. Na hapa nakupa mbinu maana umetuhakikishia unampenda mke wako na unaumia kwa kilichotokea.
Kumchukua huyo dada kumpeleka kwenye kituo Cha afya hapa ndio changamoto
 
Kuna msela wangu askari naweza kumwambia asubh akakupa escort mpka kwako ionekane ulidakwa jana so ndio wamekutoa leo
 
Eti hukujielewa ukashituka uchi acha chai
 
inno umeoa lini?
Wewe nae ni mzito kuelewa huyo ni mpenzi ambaye naishi nae kama mke na Mume sijamuoa nadhani mod kaedit kwa kuweka kichwa Cha habari chake maana changu m niliweka "nimevurugwa sijui nifanyeje"
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwa hio mod kajigeuza mfungisha ndoa ee. anyway kasingizie ulibakwa,yaani ulizinduka tu ukakuta binti ndo anashuka zake. Kesi kwisha
Wewe nae ni mzito kuelewa huyo ni mpenzi ambaye naishi nae kama mke na Mume sijamuoa nadhani mod kaedit kwa kuweka kichwa Cha habari chake maana changu m niliweka "nimevurugwa sijui nifanyeje"
 
Kwahiyo umebakwa?

Tuna kizazi cha wavulana wa hovyo sana yaani, bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…