Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hamna mwanamke aliewahi kosa mwanaumeMungu ni wetu sote! Wanaume mlivyo wanafki nikipita wanapiga ipsiiiii Mungu anawaona
Wewe ni wife material kabisa ndio inabidi uolewe kabisa. Kuna sisi miamba ambao tunapenda kuishi wenyewe ndio tuinjoy uhuru sasa. Full kukesha viwanja ni kuzurura usiku kama wangaSiwezi kukaa mwenyewe, naogopa
Kuna vitumbo flani vimebinuka kama yai kidogo tu huwa pia vina uzuri wake mkuu.Aisee mm nkionaga mdada ana kitambi sijui naonaje hua naondoka kimya kimya nashikilia suruali kwa Mkono hata sivai
Sijisumbui kwenda gym sababu umbo ni namba 9, hili halina gym mazoezi yanadundaHamna mwanamke aliewahi kosa mwanaume
Hiki changu ambacho tumbo la juu ya kitovu ndo pametuna unakizungumziajeKuna vitumbo flani vimebinuka kama yai kidogo tu huwa pia vina uzuri wake mkuu.
Kabla ya kula kunywa maji glass mbili ili ule kidogo tu ,unaonekana wewe unafukia sana.Sijisumbui kwenda gym sababu umbo ni namba 9 hili halina gym mazoezi yanadunda
Utakuwa mama, inshallah.Mimi hamu yangu ni kuitwa mama tena
Naota icho kitu kila siku
Mwenyezimungu anifanyie wepesi
Hiki changu ambacho tumbo la juu ya kitovu ndo pametuna unakizungumziaje
Acha nikimbie uzi naona una matani ya kweliiπ€ΈView attachment 3001010
Kuwa na yote ila hilo tumbo mvurugo kimbia uvunjike .
Nimecheka mpaka kamasi limepanda kama pulizo mbele za watu wanaoniheshimu.Acha nikimbie uzi naona una matani ya kweliiπ€Έ
Kichwa cha mtoto kinavyoanza kutoka mpaka mk*** wa Mzazi unafunguka wakaziba na towel πMsisimko upi huo ulioupata? Usikute ni msisimko wa kutamani papuchi.
Jamani weweππππ,. Eti kuzurura usiku kama wangaπ€π¬πWewe ni wife material kabisa ndio inabidi uolewe kabisa. Kuna sisi miamba ambao tunapenda kuishi wenyewe ndio tuinjoy uhuru sasa. Full kukesha viwanja ni kuzurura usiku kama wanga
Sawa, siku nyingine unavyosoma usome bila wivu halafu usiwe unajifanyia comparison,. Hutakuja kuumia tena sawa?π€πHuu ni uongo uliochanganywa na misifa, kama sivyo basi mna matatizo ya kimalezi hiyo familia yenyu.
Anyway ni rahisi sana, ficha Uchi tu wala usiogope.
#Jokes with no limits
Lakin kwanini uwe muongo muongo dada mzur hivyo?Sawa, siku nyingine unavyosoma usome bila wivu halafu usiwe unajifanyia comparison,. Hutakuja kuumia tena sawa?π€π
Duuuh, pole mwaya.. sijawahi kujibu comments za haters, byeeπππLakin kwanini uwe muongo muongo dada mzur hivyo?
We sema tu "Natafuta mwanaume wa kunioa mimi na uvivu wangu siwezi kaz yoyote"
Kwanin usingizie wazaz ati HAJAWAHI KAMWEπ€£
Safi kabisa.Duuuh, pole mwaya.. sijawahi kujibu comments za haters, byeeπππ