Naogopa kuwa mama

Naogopa kuwa mama

Ukweli mchungu mama yenu anawaendekeza sana.. anawaandaa kuja kuwa wanawake wa aina gani kwenye ndoa zenu? mabinti wakubwa anawafulia? anaosha vyombo? hapana huu sio upendo.. badilikeni mnajiendekeza
 
Hiki changu ambacho tumbo la juu ya kitovu ndo pametuna unakizungumziaje
1716824591437.jpg

Kuwa na yote ila hilo tumbo mvurugo kimbia uvunjike .
 
Huu ni uongo uliochanganywa na misifa, kama sivyo basi mna matatizo ya kimalezi hiyo familia yenyu.
Anyway ni rahisi sana, ficha Uchi tu wala usiogope.

#Jokes with no limits
 
Wewe ni wife material kabisa ndio inabidi uolewe kabisa. Kuna sisi miamba ambao tunapenda kuishi wenyewe ndio tuinjoy uhuru sasa. Full kukesha viwanja ni kuzurura usiku kama wanga
Jamani wewe😂😂😂😂,. Eti kuzurura usiku kama wanga🤒😬😂
 
Huu ni uongo uliochanganywa na misifa, kama sivyo basi mna matatizo ya kimalezi hiyo familia yenyu.
Anyway ni rahisi sana, ficha Uchi tu wala usiogope.

#Jokes with no limits
Sawa, siku nyingine unavyosoma usome bila wivu halafu usiwe unajifanyia comparison,. Hutakuja kuumia tena sawa?🤒😂
 
Back
Top Bottom