Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu hujakitaja! Baba yako yupo au ni single mother? Kwa maangaiko haya hawezi kujiweka nadhifu kumvutia mumewe, hilo mosi! Pili, kwa umri ulionao huwezi msaidia mama yako inaonyesha jinsi gani kazaa kizazi zembe kitakachokuwa mzigo kwake mwenyewe nguvu zikiisha! Ndo maana hata wewe unaogopa kuolewa jinsi unavyomuona mama yako! Hopeless mama! Angetakiwa awe anawaamsha usiku saa10 mfanyekazi na kujiandalia mambo yao wenyewe na kuweka mambo ya nyumbani yaliyondani ya uwezo waoNatumai wazima wote,.
Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae( Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona mama yangu anaishi..
Huyu mwanamke sielewi hua anapumzika mda gani, yeye ndie mtu wa mwisho kulala kila siku. Yaani hawezi kulala kama kuna mtu bado hajaingia nyumbani, na anahakikisha kila mtu amekula amelala anafunga milango ndipo na yeye alale., Na hata akiingia kulala halitapita nusu saa anapita tena vyumba vyote kuhakikisha mmefunga madirisha, mmeshusha neti na mmejifunika vizuri ( anaweza akaamka hata mara 4 kwa usiku mmoja)..
Haitaishia hapo, Bado kuna sisi ambao inabidi asubuhi tuende kazini na wengine shuleni, wanaoamka usiku kusoma na wanaoamka kusali, kila mtu anamtajia mda wake wa kumwamsha hajawahi kukataa wala kupitiliza kutuamsha, always anakua on time… , Sijawahi kushuhudia ni saa ngapi ameamka ila kila tukiamka asubuhi tayari tunamkuta akiwa macho, kashafanya usafi na kashapika chai tunakunywa tunamwacha Nyumbani,. Hatujawahi kuona au kushuhudia akilala mchana, Labda itokee anaumwa ( Napo ni mara chache sana ).. Sijui hua anapumzika mda gani
Hajawahi kuishi na msaidizi wa kazi maisha yake yote, lakini hakuna aliyewahi kufua, kudeki , kupika, kuosha vyombo wala kufagia. Sio kwamba hatutaki kumsaidia Hapana, ni kwamba hatujawahi kuona uwanja ukiwa mchafu, vyombo vichafu na mda wowote ukirudi nyumbani unakuta chakula tayari na usafi wote ushafanywa na nguo zote ziko kambani zinakauka,,..
Licha ya hayo yote vilevile bado hajawahi kuacha kwenda kazini na shughuli zake nyingine zote za ujasiriamali hajawahi kuacha kufanya, hajawahi kuacha kwenda kwenye jumuiya wala kanisani hata jumapili moja, na kwenye dharura zote iwe hospitali au kikao chochote atakachohitajika mzazi awepo basi ni yeye ndio atakuwepo tena kwa wakati.. Na sijawahi kumwona akilalamika, akinung’unika wala akimlaumu mtu kwamba hakuna anayemsaidia kazi hata siku moja,..
Haya maisha yake yananiogopesha na yananifanya niogope hata kuwaza jinsi nitakavyoishi na watoto wangu huko mbeleni., Sometimes i wish ningekua wakiume labda ningeishi tu kama baba yangu anavyoishi😓😓😓 ( Em assume mtu anafanya haya maisha yake yote)
Unaogopa nn cha mnoSiwezi kukaa mwenyewe, naogopa
Jaman jamani…kwanini lakini? Kwani ilikuwa lazima uandike ivi mkuuNi mabikra tu ndio wana haki ya kusema hivi maaana hawaujui utamu wa Ko.mbo!
Sasa mabinti wa Dar unakuta ukigusa inalia putu putu inamwaga Mwii unaogopaje kuzaa
Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake? Umesoma hata paragraph mbili ukaelewa anachozungumzia?Ni mabikra tu ndio wana haki ya kusema hivi maaana hawaujui utamu wa Ko.mbo!
Sasa mabinti wa Dar unakuta ukigusa inalia putu putu inamwaga Mwii unaogopaje kuzaa
This JF watu wana uhuru uliopitiliza kuzungumza 😂😂😂Kilo za uzito au?
Uzito wa mwili wakoKilo za uzito au?
Mbona watu wanazungumzia vingine ambavyo hajataja? Kila saa mnawaza ngono tu.Ila Mwanamke aheshimike aisee nimeona video jinsi anavyozaa aisee mpaka nimesisimka sana. 😔
Kila siku naamka sa12 na nusu, nakuta kila kitu kashafanya . Na hata kama bado huwa hapendi kusaidiwaDuh yani mabinti wakubwa hivyo mnamwacha afanye shughuli peke yake. Mngekuwa mnamsaidia. Unaamka mapema unamsaidia baadhi ya kazi ndipo unaenda kazini.
Hutoweza kuzaa na kua mama ?Mimi naona kabisa sitaweza aisee, naogopa😩😩
InshallahMimi hamu yangu ni kuitwa mama tena
Naota icho kitu kila siku
Mwenyezimungu anifanyie wepesi
HahahahahaMimi hamu yangu ni kuitwa mama tena
Naota icho kitu kila siku
Mwenyezimungu anifanyie wepesi
Duh!Niko na 52kg