kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
PortableUna kilo ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PortableUna kilo ngapi?
Anatengeneza kizazi kibovu sijawahi ona hapo ndipo inapopata hofu yawezekana hujui kupika, hujui kufua, hujui kudeki na nk hivi utaishije na mume hofu yako kaijenga mzazi mwenye bidii ya kazi usiku na mchanaNatumai wazima wote,.
Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae( Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona mama yangu anaishi..
Huyu mwanamke sielewi hua anapumzika mda gani, yeye ndie mtu wa mwisho kulala kila siku. Yaani hawezi kulala kama kuna mtu bado hajaingia nyumbani, na anahakikisha kila mtu amekula amelala anafunga milango ndipo na yeye alale., Na hata akiingia kulala halitapita nusu saa anapita tena vyumba vyote kuhakikisha mmefunga madirisha, mmeshusha neti na mmejifunika vizuri ( anaweza akaamka hata mara 4 kwa usiku mmoja)..
Haitaishia hapo, Bado kuna sisi ambao inabidi asubuhi tuende kazini na wengine shuleni, wanaoamka usiku kusoma na wanaoamka kusali, kila mtu anamtajia mda wake wa kumwamsha hajawahi kukataa wala kupitiliza kutuamsha, always anakua on time… , Sijawahi kushuhudia ni saa ngapi ameamka ila kila tukiamka asubuhi tayari tunamkuta akiwa macho, kashafanya usafi na kashapika chai tunakunywa tunamwacha Nyumbani,. Hatujawahi kuona au kushuhudia akilala mchana, Labda itokee anaumwa ( Napo ni mara chache sana ).. Sijui hua anapumzika mda gani
Hajawahi kuishi na msaidizi wa kazi maisha yake yote, lakini hakuna aliyewahi kufua, kudeki , kupika, kuosha vyombo wala kufagia. Sio kwamba hatutaki kumsaidia Hapana, ni kwamba hatujawahi kuona uwanja ukiwa mchafu, vyombo vichafu na mda wowote ukirudi nyumbani unakuta chakula tayari na usafi wote ushafanywa na nguo zote ziko kambani zinakauka,,..
Licha ya hayo yote vilevile bado hajawahi kuacha kwenda kazini na shughuli zake nyingine zote za ujasiriamali hajawahi kuacha kufanya, hajawahi kuacha kwenda kwenye jumuiya wala kanisani hata jumapili moja, na kwenye dharura zote iwe hospitali au kikao chochote atakachohitajika mzazi awepo basi ni yeye ndio atakuwepo tena kwa wakati.. Na sijawahi kumwona akilalamika, akinung’unika wala akimlaumu mtu kwamba hakuna anayemsaidia kazi hata siku moja,..
Haya maisha yake yananiogopesha na yananifanya niogope hata kuwaza jinsi nitakavyoishi na watoto wangu huko mbeleni., Sometimes i wish ningekua wakiume labda ningeishi tu kama baba yangu anavyoishi😓😓😓 ( Em assume mtu anafanya haya maisha yake yote)
Amen, ubarikiwe sana mkuu kwa ushauri mzuri[emoji12][emoji12]Nasubiria ushuhuda tu mengine yabaki historia, hakuna jambo gumu la kumshinda binadamu limitations tunajiwekewa wenyewe kwa kuamini au kwa kujinenea siwezi
Kuna andiko takatifu linasema hivi "uzima na umauti umo ndani midomo yetu" ukiongea uzima utaishi na ukiongea mauti hutaishi kwahiyo weka umakini katika kila neno litokalo kinywani mwako, badili mindset utaishi katika kufikia hatima yako na utashangaa
Ukiona hivyo jua kuna namna mama kakuona wewe bado kuna sehemu hautamudu, endelea kujifunza kutoka kwa mama.Kwakweli, mama yangu hatakubali nitoke nyumbani yeye akiwepo
Baba yangu ni mtu ambaye yuko busy sana.. Lakini ndio provider wa kila kitu nyumbaniAnatengeneza kizazi kibovu sijawahi ona hapo ndipo inapopata hofu yawezekana hujui kupika, hujui kufua, hujui kudeki na nk hivi utaishije na mume hofu yako kaijenga mzazi mwenye bidii ya kazi usiku na mchana
Samahi lkn umeongelea mama tu baba vipi
Sio huenda , anakujua vizuri sana kuingia kwako na kutoka kwako , msikilize yeye ni mwalimu wako wa kwanza hapa duniani.Kwakweli huenda kanifahamu vizuri
this is not right mkuu, hii siyo namna ya ku address mzazi tena Mama wa mtu mwingine..!!Hopeless mama! Angetakiwa awe anawaamsha usiku saa10 mfanyekazi,
Baba yupo , naye yuko busy sana. Ila ndio provider wa kila kitu nyumbani.. Tatizo n kwamba hapendi kusaidiwaKuna kitu hujakitaja! Baba yako yupo au ni single mother? Kwa maangaiko haya hawezi kujiweka nadhifu kumvutia mumewe, hilo mosi! Pili, kwa umri ulionao huwezi msaidia mama yako inaonyesha jinsi gani kazaa kizazi zembe kitakachokuwa mzigo kwake mwenyewe nguvu zikiisha! Ndo maana hata wewe unaogopa kuolewa jinsi unavyomuona mama yako! Hopeless mama! Angetakiwa awe anawaamsha usiku saa10 mfanyekazi na kujiandalia mambo yao wenyewe na kuweka mambo ya nyumbani yaliyondani ya uwezo wao
ni simple tu utazoeaYaani😓
Kwani wamefika wangapi mi deko🤣 hata hivyo malezi yenu na mama zetu naona ni tofauti kidogo, nyie mpo lazy kidogo...Kuwa mama ni raha Sana maisha tu magumu ningezaa hata watoto kumi.🥰🥰🥰🥰🥰
Mama yangu hapendi kusaidiwa.. Baba kashaleta wasaidizi hadi amechoka saizi, hapendi kusaidiwa kabisaHoja kuu ni woga wa wewe kuwa mama, majukumu makubwa aliyonayo mama, muda wa yeye kupumzika, kuhudumia watu wa nyumba yake kwa kila kitu.
Ila hoja nyingine inakuja, how come watu wa nyumbani wasimsaidie mama kazi? Mama analea watu wa aina gani asiowapa majukumu.
Anyway kila familia ina namna yake ya malezi.
Ata ukileta mchumba ukiona amesita ila anavunga kwa kusema kama umempenda wewe yeye hana neno ,kishingo upande PIGA CHINI.Amen, namsikiliza na nitaendelea kumsikiliza kila siku na kila kitu