ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nakuaminia😉Kwanini isiweze kuwa kweli na wewe😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuaminia😉Kwanini isiweze kuwa kweli na wewe😁
🤗Nakuaminia😉
Kweli mkuu inawezekana kabisa na sion wala sijaona wabaya jfAcheni uboya! Mbona enzi za Twitter, majamaa walizindua kitu kinaitwa T.O.T bonanza, yaani "Tanzanians On Twitter Bonanza rasmi mnamo mwaka 2020... na mwitikio ulikuwa mkubwa tena very positively?! na ikawa inafanyika kila mwaka... Sijui saiv maana sijafatilia kitambo baada ya kuzidi kubanwa na mambo.
Hakukuwa na aliyetekwa, kupelekwa polisi wala kupotea na kufa na wala kuzodolewa ingawa wasema/wananga serikali wapo tele! Machawa na wanaotetea upumbavu na ushetani, wauza miili, Wakujipendekeza, Wanafki rangi mbili... Na wengineo wote walikuwemo na ililika starehe sio poa! Tena ulinzi wa kutosha!
Sasa nyinyi mnaogopa nini?!
ZINGATIENI:- "Serikali ikiamua kuwapateni nyie maboya itawapata tu!"
Hebu tuandae "Tanzanians on JF Bonanza" Ebo!!!!!
Viwanja vya TTCL na Postal grounds Kijitonyama viko poa sana! Ningependekeza waite wafanyabiashara mbalimbali waje kutangaza brands zao... Kuwe na vinywaji, Vyakula na njonjo zingine kibao! Kama vipi liandaliwe bonanza maalum la soka lipigwe pale na michezo mingine kama kikapu, mpira wa pete, Tennis na kadhalika, mapema asubuhi kabla ya yote kuwe na jogging kwa ajili ya kupiga vita magonjwa yasioambukiza.... Usiku upigwe mziki mpaka majogoo ikiwezekana na tuite kama wasanii wawili watatu hivi ambao tutaweza kuwamuduKweli mkuu inawezekana kabisa na sion wala sijaona wabaya jf
Hahah usijal ila mm nataka tujuane sisi wawili tu wengine wasitujue kwa id zetu 😁😁😁Ulipo nipo! Ila mimi nataka location iwe beach! Nina swimming costume yangu matata
Utanifundisha kuogelea?
Let's get startedGuys! This is very possible!
LET'S DO IT!
Yeah! Sisi wawili tu kama mapacha ndani ya majiHahah usijal ila mm nataka tujuane sisi wawili tu wengine wasitujue kwa id zetu 😁😁😁
Kina bwana mwasha watanuna😁😁😁Yeah! Sisi wawili tu kama mapacha ndani ya maji
Watajiju! Mimi siku hio nipo na wewe tu😉Kina bwana mwasha watanuna😁😁😁