Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nipe namba nikutumieNakusubiri
Hiyo no pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe namba nikutumieNakusubiri
Hiyo no pls
Mi hii ndo Huwa naitumiaNadhani ni dabur ya karafuu
Naomba unitumie pm siwezi weka no yangu hapa.Nipe namba nikutumie
Bro nami naomba no yake, nina matatzo kama ya mtoa mada.Yule mwamba salute.
Ngoja nicheki namba yake nikutumie.
Kwakweli Jamaa angeweza kupromote dawa yake angekuwa tajiri lakini still poor.
Waza : kung'oa 10k -20
Dawa ya kuponyesha 2k-3.
Amazing
Pole Sana, sasa ili using'owe tena Meno nunuwa dawa inaitwa Dental formula power ( DFP)Wasalaam
Ndugu zanguni njashukur kwa ushauri,
Usiku kuamkia leo tarehe 2/2 sijalala hata,jino lilichachamaa bila mapumziko,
Saa 11 nipo hospitalini t hata madirisha hawajafungua, nipo hospitalini jino lilipoa nusu nighairi kung'oa,nikasema usinitanie,
Nimeingia kuchoma sindano ya ganzi,nimemuonyesha dr jino linaloniuma, dr akaniuliza tutoe yote mawili au moja??
Nilishtuka, nikamwambia nitoe moja, akasema haiwezekani yote ni mabovu tutoe yote, akasema utatoa leo kesho utakuja tena,,, nikamwambia sawa ning'oe yote,
Nashukuru sasa,nipo na uguza madonda.
Nasubiria mkuuNipe namba nikutumie
Ahsante, nitanunua.Pole Sana, sasa ili using'owe tena Meno nunuwa dawa inaitwa Dental formula power ( DFP)
Meno bana vuta toa mbn utotoni ukipigwa ngumi linadondoka na unapitisha Katikati ya mapaja kwa kulitupia nyuma na ukubwani fanya ivoHuwa natumia wanazoita Diklopa lakini kwenye overdose mode baada yambili nameza tatu
Kama limetoboka naingiza unga wahiyo kweny jino nakumeza vidonge viwil
Mpaka namiaka nalo mitano limeanza meguka lenyewe now aliumi
Hii gel ipo hospital za dar nilikwenda kusafisha meno kuna dentist alisema nao wanafanya hivyo.Root canal ya gel ipoje mimi Nina Mashimo mawili nawaza kwenda kuyaziba naogopaa
Ndio inaziba vizuri tu nilikosea jina lake halisi Monkey brandHii black monkey umesema inaziba mashimo??
Una picha yake?Ndio inaziba vizuri tu nilikosea jina lake halisi Monkey brand
HiiUna picha yake?
Asante mkuu
Nilishazunguka sana,. Nishang'oa mpendwa.Alijakuuma vizuri, unapata na muda wa kuandika.
Jino likiuma vzr, na hasa uwa inakuwa ni usiku...hata iwe usiku wa manane utakatisha porini kwenda Hosp ung'oe.
Yani muda huu unaandika,ungekua unazunguka zunguka chumbani ujui ushike nini uache nini.
Bado alijakuuma.
Nunua Spirit loanisha pamba ipeleke kwenye jino bovu ing'ate uiache hapo utapata nafuuAssalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Wewe huo ukweli uliutoa wapi?Wanakudanganya tu, dawa ya jino ni kuling'oa tu