Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Jamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo.

Sijalala mpaka saivi nisaidieni
Pole Sana, huna hata dawa za kutuliza maumivu? Ukipata Karafuu au mafuta ya taa yanaweza kukusaidia pia kwa muda utaosubiri kwenda hospitali.
 
Kuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
 
Attachments

  • IMG_20240425_141711_865.jpg
    IMG_20240425_141711_865.jpg
    2.6 MB · Views: 14
Kuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
 
Kuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
Tafuta hallmint inauzwa buku weka kwenye jino tumia na Colgate
 
Kuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
Noma sana
 
Assalaam

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Nitafute nikupe dawa upone kabisa mkuu
 
Kuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
wewe ukaumwa jino dawa mkatumia wewe na mumeo
 
Pole Sana, huna hata dawa za kutuliza maumivu? Ukipata Karafuu au mafuta ya taa yanaweza kukusaidia pia kwa muda utaosubiri kwenda hospitali.

Kwa mimi mwenye tatizo la kufa ganzi hata nyama, vitumbua, sambusa nashindwa kula, naweza nikatumia karafuu?

Nourhan naomba nawe unisaidie
 
Jamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo.

Sijalala mpaka saivi nisaidieni
Jino dawa yake kung'oa tu
 
Kwa mimi mwenye tatizo la kufa ganzi hata nyama, vitumbua, sambusa nashindwa kula, naweza nikatumia karafuu?

Nourhan naomba nawe unisaidie
Tumia hio dawa nilokuambia ila dumisha usafi wa kinywa haswa kabla ya kulala tumia Colgate original na sensodine kama sijakosea jina
 
wewe ukaumwa jino dawa mkatumia wewe na mumeo
Soma uelewe sio kukurupuka ku comment jino nimeumwa mie na mume wangu mie nikutumia sukari yeye maji baridi yeye mpaka aliamua kung'oa hilo jino ila dawa imemsaidia kadhalika na mie.
 
Back
Top Bottom