Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

2023 iliniachia issue ya meno maana sikuwahi kuumwa kabisa

Ila natumia dawa hii kwa sasa na ninaswakia asubuhi na jioni, inasaidia sana kuondoa maumivu ila tatizo nikipitisha siku nzima sijaitumia. Naanza kuhisi maumivu kwa mbali
View attachment 2891254
Mi natumia hii nikikosa hela ya ile ya kutoka forever living products ,nzuri sn
Naona hiyo Yako wameongeza ingredients
 
Attachments

  • Screenshot_20240116-104811.jpg
    Screenshot_20240116-104811.jpg
    50.9 KB · Views: 7
Mi natumia hii nikikosa hela ya ile ya kutoka forever living products ,nzuri sn
Naona hiyo Yako wameongeza ingredients
Hiyo ya forever living ndio ipi, na inauzwa bei gani

Maana mimi nikisikia forever living naona network marketing tu na watu waliolizwa na hiyo scheme 😁
 
Aisee dawa Yao noma
Hutojutia, elf 20 Kwa sasa intakuwa inauzwa
Zile products ni ghali ila uhakika .
Kule we acha wafanye biashara zao,we nunua tu Kwa matumizi Yako .

Nimefulia sshv,🤣 natumia nyingine Kwa shida
 
Attachments

  • Screenshot_20240202-085127_1.jpg
    Screenshot_20240202-085127_1.jpg
    32.2 KB · Views: 6
Aisee dawa Yao noma
Hutojutia, elf 20 Kwa sasa intakuwa inauzwa
Zile products ni ghali ila uhakika .
Kule we acha wafanye biashara zao,we nunua tu Kwa matumizi Yako .

Nimefulia sshv,🤣 natumia nyingine Kwa shida
Ntaitafuta, kumbe wazee wa "good morning hata jioni" Huwa na products za uhakika. Shukrani 🙏🏽
 
Wasalaam

Ndugu zanguni njashukur kwa ushauri,

Usiku kuamkia leo tarehe 2/2 sijalala hata,jino lilichachamaa bila mapumziko,

Saa 11 nipo hospitalini t hata madirisha hawajafungua, nipo hospitalini jino lilipoa nusu nighairi kung'oa,nikasema usinitanie,

Nimeingia kuchoma sindano ya ganzi,nimemuonyesha dr jino linaloniuma, dr akaniuliza tutoe yote mawili au moja??

Nilishtuka, nikamwambia nitoe moja, akasema haiwezekani yote ni mabovu tutoe yote, akasema utatoa leo kesho utakuja tena,,, nikamwambia sawa ning'oe yote,

Nashukuru sasa,nipo na uguza madonda.
 
Pole sana..
 
Mi natumia hii nikikosa hela ya ile ya kutoka forever living products ,nzuri sn
Naona hiyo Yako wameongeza ingredients
Wana products nzuri sana hawa dabur Kuna moja nilitumia sikumbuki ni ipi ila ilikuwa kali hadi kinywa kama kinakufa ganzi
 
Back
Top Bottom