Sasa ndugu yangu,ni wapi nilipoandika hizo tuhuma zako? Mi nimesema kama anaijua dawa ya kienyeji na akawa ana uhakika kuwa inafanya kazi,huna haja ya kuidhalau. Umesoma vizuri comment yangu labda?! Au umeifananisha!Ulichoandika kuwa uking'oa jino bacteria wa jino ulilong'oa wanahamia jino lingine ni ushahidi tosha kuwa wewe muongo na tapeli heri ungesema tu kuwa una dawa ya kienyeji lakini sio Kwa uongo huo wa kusema uking"oa jino bacteria wanahamia jino lingine
Uongo Tena mkubwa