Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Maeneo ya Machinga complex stand chini ya jengo palipo uvungu . Kuna Jamaa anauza dawa ya meno 2000 sasa nadhani 3000 tu. Ukitumia utapona kabisa. Jamaa ajengewe sanamu. Ni noma. Nilikuwa navimba fizi damu na usaha vinatoka nilipotumia dawa yake tu mwaka wa 3 sasa ni history imebaki
 
Yaani Huwa siwaamini Hawa watu
Ulibahatika

Jmn labda nikabahatishe
 
Assalaam

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Tafuta mouthwash inaitwa listerine: cool mint anti bacteria.
Ukisukutua na hii inatuliza maumivu kwa muda mrefu... sio ya kudumu maana kila jino likiuma unasukutua lakini unaweza sukutua leo likaja uma kwa mbali baada ya miezi miwili...
Inapatikana phamarcy
 
Yaani Huwa siwaamini Hawa watu
Ulibahatika

Jmn labda nikabahatishe
Yule mwamba salute.
Ngoja nicheki namba yake nikutumie.
Kwakweli Jamaa angeweza kupromote dawa yake angekuwa tajiri lakini still poor.
Waza : kung'oa 10k -20
Dawa ya kuponyesha 2k-3.
Amazing
 
Ni kweli ila kutumia kwa Wiki mbili hakuna shimo litakalo chimbika hata baking soda inachimba ukitumia zaidi ya wiki 2. Ila Hio monkey brand inarudisha shimo la jino na kuwa zima kama mwanzo.
OK sawa maana naendelea na dozi I hope baada ya muda elekezi ntakua nimepona kabisa
 
Pole mwaya, unaendeleaje?

Kama kuna kitu sikijui basi ni matibabu ya meno. Kuna uzi wa zamani humu mwamba alilala uvunguni kisa maumivu ya jino.
 
Pole mwaya, unaendeleaje?

Kama kuna kitu sikijui basi ni matibabu ya meno. Kuna uzi wa zamani humu mwamba alilala uvunguni kisa maumivu ya jino.
Ahsante na hongera,

Hahahahaha unaweza kufunika blanketi ata kumi kuhisi baridi,,Jino maumivu yasikie tu, kwa leo sihisi njaa na kula naogopa,.
 
Udhibitisho upi? Hivi,kabla hizo dawa za kizungu hazijaja,watu walikuwa hawaugui nankutibiwa kwa hizo dawa?
Je,leo hii si wapo wanaojitibu kwa hizo na wanapona?
Kwa nini mnaamini katika kazi na akili za wazungu tuuuu! Huenda aliemuelekeza ana udhibitisho
Ulichoandika kuwa uking'oa jino bacteria wa jino ulilong'oa wanahamia jino lingine ni ushahidi tosha kuwa wewe muongo na tapeli heri ungesema tu kuwa una dawa ya kienyeji lakini sio Kwa uongo huo wa kusema uking"oa jino bacteria wanahamia jino lingine

Uongo Tena mkubwa
 
Back
Top Bottom