Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Unajua me naumwa??

Sitaki uniongeleshe.
Tafuta unga wa karafuu pigia mswaki likitulia baada ya masiku kadhaa. Nunua baking soda changanya na unga wa karafuu tumia kila asubuhi jino litasafika bacteria wake. Pia kuna dawa inaitwa black monkey inatokea India nzuri sana kwa kuondoa bacteria wa meno.
 
Kuipata hiyo karafuu huku nilipo ni shida.
 
Assalaam

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Pole.... unaendeleaj kwa sasa...? Jino linatesa sana, ikiingia sukari,chumvi au upepo ukipiga utaisoma namba kwa kirumi..
 
Kuipata hiyo karafuu huku nilipo ni shida.
Kama upo nje ya nchi jaribu kununua online iwe akiba ya baadae, Ushauri wangu kama upo nje nenda kwa dentist kama unayo insurance kama huna zipo community hospital mwambie asafishe halafu aweke root canal ya gel ipo white. Mimi nimefanya hivi miaka 10 sasa nipo poa tu.
 
Assalaam

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Pisi Kali na imeoza meno🤔🤔😀

(Jokes)
Jaribu muscle plus Meloxicam ama gofen, zikigoma hizo go for extraction 🌝
 
Pisi Kali na imeoza meno[emoji848][emoji848][emoji3]

(Jokes)
Jaribu muscle plus Meloxicam ama gofen, zikigoma hizo go for extraction [emoji275]
Dr huyo, hahaha,kuna dr aliniambia nisage biskuti niweke mdudu atashindwa kushambuliwa atakufa,. Nikamwambia aisee kwangu sukari ikiingia linauma sana, akasema basi vise v,
 
Tumia dawa inaitwa medioral ya kusukutua.
Nb:- hakikisha humezi maana inaweza kukata utumbo
 
Back
Top Bottom