Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Leo ukikosa usingizi niiteSijapata usingizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ukikosa usingizi niiteSijapata usingizi.
Ww dawa ya jino lake au sio 🤣🤣🤣Leo ukikosa usingizi niite
Hahahahaha unapenda?Leo ukikosa usingizi niite
HahahahahahahaHahahahaha unapenda?
Isije ukang'oa jino la juu hata iweje. Waone wataalam fasta.Sijapata usingizi.
Jino la kwanza nimetoa nipo std 2, nimetoa zaidi ya matatu, moja nilitoaga tandika kidonda kilinisumbua zaidi ya maumivu ya jino na nikaapa sitong'oa tena jino,Utayang'oa moja baada ya jingine
: DAWA YA JINO SI KUNG'OAAssalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Leo nimekesha, unajua kulia unashindwa,joto,baridi,jasho,Hahahahahahaha
Chukua asplin 0.5, Diclofenac 0.5, ampiclo 0.5 tafuna vyote kwa pamoja usimeze ila bumbika mdomoni kwa dakika 5 ndio uteme, Kisha piga mswaki kwa kutumia dawa ya Colgate nyeupe na usioshe mdomo mpaka ipite nusu saa.Assalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Aaaah pole sana mdogo wanguLeo nimekesha, unajua kulia unashindwa,joto,baridi,jasho,
Nikaamua zangu saa saba hivi nikaanza kutembea ndani kimya kimya na hakuna niliyemshirikisha,
Hapana,Kipenzi dawa ya jino ni kung'oa, ukifanya root canal jiandae kwa maumivu mara nne ya hayo baada ya mda.. Fanya tu maamuzi magumu uliondoe
Hizo karafuu nilipo ni mtihani kuzipata, mafuta ya karafuu ninayo.: DAWA YA JINO SI KUNG'OA
HUNA SABABU YA KUNG'OA MENO YAKO
DAWA MUJARRABU YA KUTIBU MENO
Mahitaji
1.? Mafuta ya karafuu/clove oil.
2.? mafuta ya Nazi/coconut oil.
3.? Kitunguu maji.
4.? Kitunguu swaum.
5.? Pilipili manga.
6.?Chumvi ya mawe/unga wake
MAANDALIZI
Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuu kwa kiasi kidogo (robo kijiko kidogo cha chai) kisha chukua mchanganyiko huu kisha uweke juani kwa muda wa dakika 15 kisha toa juani.
MATUMIZI
1.ikiwa jino lina tundu
chukua uji uji wa mchanganyiko huu kisha weka katika tundu na mafuta yake yapakaae pembezoni mwa jino linalouma.
2.ikiwa jina halina tundu
pakaa mafuta ya mchanganyiko huu pembezoni kulizunguka jino linalouma
Tumia dawa hii kutwa mara tatu kwa muda wa siku tatu jino lako litakuwa limepona kabsaa
TANBIH/UZINDUSHI:
? Dawa hii inamatokeo ya haraka sana ambapo unaweza kutumia papo hapo jino likapoa,hivyo hakikisha unamaliza dozi kwa muda ulioelekezwa.
? Jiepushe na kunywa vinywaji vya moto sana au vya barid sana mpaka umalize dozi kwa muda uliopangwa.
Baarakallahu fiikum
Limetoboka?Assalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Nili kwambia nunua Vivian, Kisha Kuna ile dawa ya asili ya jino(Ina piga ganzi).Kiukweli sijalala,
Halijatoboka.Limetoboka?
Dawa hizo kuna wakati zinadunda ujueNili kwambia nunua Vivian, Kisha Kuna ile dawa ya asili ya jino(Ina piga ganzi).
👉Uki tumia siku 2/3 Lina tulia kabisa
Halafu linaanza tena baada ya muda??Nili kwambia nunua Vivian, Kisha Kuna ile dawa ya asili ya jino(Ina piga ganzi).
[emoji117]Uki tumia siku 2/3 Lina tulia kabisa
Limeanza kuniuma kitambo,hayo madawa nimetumia,linatulia ata mwezi,Nili kwambia nunua Vivian, Kisha Kuna ile dawa ya asili ya jino(Ina piga ganzi).
[emoji117]Uki tumia siku 2/3 Lina tulia kabisa