Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Uongo unataka kuuza tu dawa za kienyeji ambazo Hazina uthibitisho
Hahahahaha, ni kweli zinatuliza maumivu lkn baada ya muda linaanza,

Kuna dawa nilikuwa natumia ya kenya ilikuwa nzuri lkn upatikanaji ni shida.
 
Assalaam

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Hebu uje nyumbani uchukue dawa moja
 
Ng'oa
 
Back
Top Bottom