Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kama limetoboka nenda kazibe liatpona Kabisa hilooAssalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.