Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Pole, nikajua tyr ushalifanyia MAFEKECHE.. nenda hospital waliamulie nini cha kulifanya, maumivu ya jino ni mabaya sana.Ahsante,limetulia ngoma usiku,
Nipo bubu tu hapa,sitamani hata kula siku ya leo.