Pole Sana, huna hata dawa za kutuliza maumivu? Ukipata Karafuu au mafuta ya taa yanaweza kukusaidia pia kwa muda utaosubiri kwenda hospitali.Jamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo.
Sijalala mpaka saivi nisaidieni
Kuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulalaJamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo.
Sijalala mpaka saivi nisaidieni
Tafuta hallmint inauzwa buku weka kwenye jino tumia na ColgateKuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
Naitumia sana halmint Kwa pua zangu huwa zinaziba sana usiku nanusa nyingine namumunya AsanteTafuta hallmint inauzwa buku weka kwenye jino tumia na Colgate
Noma sanaKuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
Nitafute nikupe dawa upone kabisa mkuuAssalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
wewe ukaumwa jino dawa mkatumia wewe na mumeoKuna dawa alipitisha mtu nikaidharau elfu 2 TU pakti kichupa 7000 nikaona ana njaa wacha nimchangie siku niloumwa jino mie na mume wangu tukatumia sikuamini ilivyotusaidia na jino gego nikila kitu cha sukari au baridi au moto nakoma kuliziba naona uvivu nazingatia tu usafi wa kinywa haswa kupiga mswaki kabla ya kulala
Pole Sana, huna hata dawa za kutuliza maumivu? Ukipata Karafuu au mafuta ya taa yanaweza kukusaidia pia kwa muda utaosubiri kwenda hospitali.
Jino dawa yake kung'oa tuJamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo.
Sijalala mpaka saivi nisaidieni
Tumia hio dawa nilokuambia ila dumisha usafi wa kinywa haswa kabla ya kulala tumia Colgate original na sensodine kama sijakosea jinaKwa mimi mwenye tatizo la kufa ganzi hata nyama, vitumbua, sambusa nashindwa kula, naweza nikatumia karafuu?
Nourhan naomba nawe unisaidie
Soma uelewe sio kukurupuka ku comment jino nimeumwa mie na mume wangu mie nikutumia sukari yeye maji baridi yeye mpaka aliamua kung'oa hilo jino ila dawa imemsaidia kadhalika na mie.wewe ukaumwa jino dawa mkatumia wewe na mumeo
Usitumie karafuu . Sukutua maji ya moto yasiyo unguzaKwa mimi mwenye tatizo la kufa ganzi hata nyama, vitumbua, sambusa nashindwa kula, naweza nikatumia karafuu?
Nourhan naomba nawe unisaidie
Shukran mkuuUsitumie karafuu . Sukutua maji ya moto yasiyo unguza
Kang'oe tu..lakini next time fanya check up ya kinywa atleast mara moja kwa mwaka kama kuna matundu ziba ttzo letu wabongo mpaka meno yaume ndio twende hospita