Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Mtaalamu kasema ni tumie painkillers lakin badoNenda Kwa mtaalamu kwanza akupe ushauri.
Umeenda hosptali gani nenda hospatali kubwa upate tiba kamiliMtaalamu kasema ni tumie painkillers lakin bado
Pakikucha, nenda hospital waliangalie lipo hatua ipi. Kisha dokta atakushauri. All in all, usiling'oe, mwambie akufanyie root canal then utaendelea kulitumia bila shida yoyote.Assalaam
Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,
Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha
Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,
Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,
Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,
Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,
Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
Uongo unataka kuuza tu dawa za kienyeji ambazo Hazina uthibitishoUking'oa jino bacteria uhamia jino lingine,zipo dawa zinafanya vzuri kutibu meno bila kung'oa wacheck Modern traditional clinic,Wana dawa nzuri ya kusukutua
ang’oe tuPakikucha, nenda hospital waliangalie lipo hatua ipi. Kisha dokta atakushauri. All in all, usiling'oe, mwambie akufanyie root canal then utaendelea kulitumia bila shida yoyote.
Pia pole kwa hayo maumivu, natumai uliweza kupata usingizi.