Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana magari ambayo huwa yana record hizo street viewMoja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
Watu kama wewe na mm tunatuma kwa google map hata saivi hapo ukitaka mtaa wako office yako ionekane inawezekana sema hakuna malipo yyte utayopewa..Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
Wana mbinu nyingi sana. Kuna watu wanaingiza taarifa zao au za biashara zao kwenye google pamoja na location ili wapate wateja zaidi. Pia kuna satellite mbalimbali zinazofanya kazi na google earth zinaitwa Landsat ndio zinafanya hiyo kazi. Ila kuna makampuni mengi sana ambayo yana satellite nyingi sana huko angani kwa ajili ya kazi mbalimbali, ikiwemo masuala ya mawasiliano, upelelezi, kijeshi, hali ya hewa, kilimo, mazingira, kupiga picha na mengineyo.I wonder watakuwa na wafanyakazi wengi sana wa ku kusanya hizo data
Hapa kijijini kwetu gesti iitwayo Deception sojourn. Maneno haya hayaonekani na satellite iliyoko angani, Cha ajabu ukienda Google map na kuzoom Kijiji utaona hayo maneno ' Deception Sojourn."1. Kuna watu wanafanya hiyo kazi
2. Kuna satellite nyingi sana ziko huko juu zinazoom dunia live kila kitu wanakiona ndani ya sekunde chache.
Ogopa Mzungu
Cookies nilikuwa najua ni za kutrack tabia yako ya kimtandao yaani unapokubali hizo cookies kwenye site flani, unaipa access ya kuona digital prints zako yaani popote pengine unapozurura online
Asante kwa jibu hili kuhusu cookies. Lilikuwa linanisumbua sanaCookies nilikuwa najua ni za kutrack tabia yako ya kimtandao yaani unapokubali hizo cookies kwenye site flani, unaipa access ya kuona digital prints zako yaani popote pengine unapozurura online
Hii ni kwa ajili ya kupata data hususani online behaviour yako itakayowasaidia kuda matangazo gani wakuletee kutokana na historia ya kuperuzi kwako. So kama unapenda mpira, utaona matangazo ya mpira na betting etc
Vipi Hamas hawaonekani kwenye GE ?Google Map(GM) inatumia API za Google Earth(GE).Google Earth nayo hutumia software zinazozungumza na Satelite zao..Satelite zinaona kila kitu isipokua majina tu.hivyo GM wanapata majina ya sehemu husika kwa kufanya research nyingi zaidi na kujua Ramani ya nchi,Mkoa,Kata,wilaya na Vitongoji vyake..Ndio maana kila utapoenda mara nyingi kuna sehemu ya Kureview iyo location na survey fupi inayouliza hali ya sehemu husika..So kifupi Map ya dunia wanayo ila majina ndio wanafanya research...
Fun Fact ni kwamba pamoja uwezo wa satelite kuangaza dunia..kuna baadhi ya nchi wanatechnolojia inayozuia satelite kuona/kufanya kazi yake..Nchi hizi ni kama haohao google yani US kuna maeneo kama Whitestate house huwezi kuyaona kwa satelite..pia uarabuni kwenye makundi kama ISIS ,China baadhi ya maeneo,Russia, na Israel n.k
Google Map(GM) inatumia API za Google Earth(GE).Google Earth nayo hutumia software zinazozungumza na Satelite zao..Satelite zinaona kila kitu isipokua majina tu.hivyo GM wanapata majina ya sehemu husika kwa kufanya research nyingi zaidi na kujua Ramani ya nchi,Mkoa,Kata,wilaya na Vitongoji vyake..Ndio maana kila utapoenda mara nyingi kuna sehemu ya Kureview iyo location na survey fupi inayouliza hali ya sehemu husika..So kifupi Map ya dunia wanayo ila majina ndio wanafanya research...
Fun Fact ni kwamba pamoja uwezo wa satelite kuangaza dunia..kuna baadhi ya nchi wanatechnolojia inayozuia satelite kuona/kufanya kazi yake..Nchi hizi ni kama haohao google yani US kuna maeneo kama Whitestate house huwezi kuyaona kwa satelite..pia uarabuni kwenye makundi kama ISIS ,China baadhi ya maeneo,Russia, na Israel n.k
Makundi mengi yanajua kucheza na satelite ndomana IDF wanawasaka sana pengine bila mafanikio jamaa wamejipanga vizuri njia za handani chocho kama zote Satellite zitawaonea wapi..Vipi Hamas hawaonekani kwenye GE ?
Shukrani mkuu na natumai wenye uelewa zaidi watatoa clarification nzuri zaidiAsante kwa jibu hili kuhusu cookies. Lilikuwa linanisumbua sana