Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

Taarifa wanapata kupitia satellite, kupitia watu simu yako ina mchango mkubwa sana kutoa taarifa kwenye Google map , Ndo maana ukiwa unaelekea sehemu flan wanauwezo wa kukuonyesha njia hii ina traffic jam kwahiyo maamuzi ni yako kupita huko au kubadili njia, sasa hizo taarifa za uwepo wa jam barabarani zinatolewa kupitia device walizonazo watu maana sahivi asilimia kubwa watu wana smartphone kwahiyo ni rahisi Google kujua taarifa za eneo
 
Mkuu Hawa mbuzi wanaona Kila unachofanya,Yani wanasatelite ya kukuona Kila mahali,wanajua gest Gani unaingia Chocho Gani upo,tena wale wanao oga bafu za paspot saizi uswahilini wanachunguliwa kishenzi

Hahaaa
 
karibu sana...hata kama unataka kuuona mtaa wako kwenye map na haupo unaweza ukaniambia nikakusaidia au nikakufundisha jinsi ya kuuweka...!​
Ila Hadija sometimes muongo sana, kuna siku alitupoteza kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taarifa wanapata kupitia satellite, kupitia watu simu yako ina mchango mkubwa sana kutoa taarifa kwenye Google map , Ndo maana ukiwa unaelekea sehemu flan wanauwezo wa kukuonyesha njia hii ina traffic jam kwahiyo maamuzi ni yako kupita huko au kubadili njia, sasa hizo taarifa za uwepo wa jam barabarani zinatolewa kupitia device walizonazo watu maana sahivi asilimia kubwa watu wana smartphone kwahiyo ni rahisi Google kujua taarifa za eneo
Kwa mfano sasa niko njia panda ya Kunduchi hapa mbuyuni. Kuna traffic jam ya kufa mtu. Je ninawezaje kuiona?
 
Kwa mfano sasa niko njia panda ya Kunduchi hapa mbuyuni. Kuna traffic jam ya kufa mtu. Je ninawezaje kuiona?
ndio unaweza kuona... sehemu yenye jam huwa na rangi nyekundu kwenye ramani...
Screenshot_20231222-105748.jpg
 
Washa location kwenye simu yako alafu Google location ya ulipo na sehem unapoenda itakunyesha njia ya huko unapokwenda na hali ya barabara kama ina msongamano itakuonyesha
Mkuu uko vizuri, nimeona kabisa queue ìlipo, Fyatanga hadi Boko CCM
 
Mkuu uko vizuri, nimeona kabisa queue ìlipo, Fyatanga hadi Boko CCM
Yeah unaona kila kitu mi binafsi nilienda Mwanza kwa mara ya kwanza nipo peke yangu sijui jiji lakini wala sikumuuliza mtu yoyote kwenda sehem flan unapita wapi wala nini nikawa na Google tu location na ninafika kama mwenyeji hadi siku naondoka changamoto zilikua ndogo ndogo tu
 
hapo kwenye kuonekana sio kweli...kuna baadhi ya vitu ukiepuka kuambatana navyo akuna satellites itakayokuona...!
Actually google map ni project ya jeshi la marekani, hizo picha unazoona wewe kwa simu ni za kiwango cha chini sana(civilian version ya google map), wao wanaona kama unavoangalia wewe movie kwenye TV yako. So hata kama unatembea barabarani wakikufocus ni kama wanakuangalia live tu.
 
Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
Ma satelite yamejaa huko angani kila kona wanatuchora tu, yaani mtu huijui mbagala lakin ukiweka google map tu Khadija anakupeleka hadi mlango pale unapoenda 😀
 
Kama kuna mtu amewahi cheki movie ya fast&furious9 ataafikiana na mimi kaanza unaona vin diesel na john cena wanatafuta kitu ambacho wanaita God’s eye ambacho ni mfumo wa global wide camera na every tracking system na hile kitu ipo in real life walichukua idea ya kweli coz kuna satellite ambayo ina orbit angani ndo inapower hiko kitu inaact kama CPU ila inaexplore dunia kwa ujumla
 
Back
Top Bottom