Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

Satelite kwa sana ila pia wanawatu wao wanao update hizo data kwa ground an sikuhizi kuna 3D maps zinazoonyesha streets kama zilivyo hii kuna gari linatembea mitaani kuchukua 3D images, sidhan kama wamekuja kwetuntayari ila niliwaona rwanda mwaka jana hivi walikuwa wanafanya hiyo kazi
 
Google Map(GM) inatumia API za Google Earth(GE).Google Earth nayo hutumia software zinazozungumza na Satelite zao..Satelite zinaona kila kitu isipokua majina tu.hivyo GM wanapata majina ya sehemu husika kwa kufanya research nyingi zaidi na kujua Ramani ya nchi,Mkoa,Kata,wilaya na Vitongoji vyake..Ndio maana kila utapoenda mara nyingi kuna sehemu ya Kureview iyo location na survey fupi inayouliza hali ya sehemu husika..So kifupi Map ya dunia wanayo ila majina ndio wanafanya research...

Fun Fact ni kwamba pamoja uwezo wa satelite kuangaza dunia..kuna baadhi ya nchi wanatechnolojia inayozuia satelite kuona/kufanya kazi yake..Nchi hizi ni kama haohao google yani US kuna maeneo kama Whitestate house huwezi kuyaona kwa satelite..pia uarabuni kwenye makundi kama ISIS ,China baadhi ya maeneo,Russia, na Israel n.k
Nimejifunza kitu hapa.
 
Wana mbinu nyingi sana. Kuna watu wanaingiza taarifa zao au za biashara zao kwenye google pamoja na location ili wapate wateja zaidi. Pia kuna satellite mbalimbali zinazofanya kazi na google earth zinaitwa Landsat ndio zinafanya hiyo kazi. Ila kuna makampuni mengi sana ambayo yana satellite nyingi sana huko angani kwa ajili ya kazi mbalimbali, ikiwemo masuala ya mawasiliano, upelelezi, kijeshi, hali ya hewa, kilimo, mazingira, kupiga picha na mengineyo.



Nataka kuingiza biashara yangu ikiwa ni kuitangaza pia au kuifahamisha kwa wateja.
Nifanyeje?
 
Nataka kuingiza biashara yangu ikiwa ni kuitangaza pia au kuifahamisha kwa wateja.
Nifanyeje?
Nenda kwenye coordinate yako. Juu kulia kuna vinukta 3, viguse (click) halafu ongeza jina unalotaka, kisha hifadhi
 
Back
Top Bottom