Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

Asante kwa maelezo yenye madini ya kushibisha
 
Elimu haina mwisho, asante ndugu kwa madini haya
 
Mkuu Hawa mbuzi wanaona Kila unachofanya,Yani wanasatelite ya kukuona Kila mahali,wanajua gest Gani unaingia Chocho Gani upo,tena wale wanao oga bafu za paspot saizi uswahilini wanachunguliwa kishenzi
Lakin USA haiwezi kuwa na haya ya picha ya lukunjai anae oga zake uswahili huko.
 
Hili ndio jibu sahihi ila kuna watu huko juu wanajibu kwa ujuaji hewa
 
Hili ndio jibi sahihi ila kuna watu huko juu wanajibu kwa ujuaji hewa
asante kwa kuniamini hapa umenifanya nijue kuwa hata wewe ni mwana mtandao...🤣🤣🤣

google nimeichezea sana nimeshawahi kubadili majina makubwa ya sehemu zilizo kosewa. na kuongeza sehemu zilizo miss...

na kuna watu nimeshawahi kuwapiga pesa ndefu nilivyo wahakikushia kuwa naweza kuwasiliana na google na majina yao yatawekwa kwenye Ramani🤣🤣🤣 baada ya masaa 24 na kweli kabla ya muda huo wakaanza kujiona kwenye map...

 
Asante leo nmeelewa maana ya cookies😍
 
Ahahah...sikuwa na wazo la hilo dili.....ila nimelocate majina ya mitaa na taasisi nyingi kwenye Google Earth/Map
 
Embu tuelekezane mi kuna siku niliedit kumbe wanaon kila mtu
yap...na ukiedit kitu kwa uongo ukabadili dhamira hakiwezi kufanyiwa edit muda huo huo mpaka watumiaji wengine wakubaliane na mabadiliko uliyo yafanya.

ila kuna watu wamefanya edit nyingi za uhakika hivyo wao wakiedit chochote kinabadilika muda huo huo..

mimi shughuri zangu ninazofanya zinautumia mtandao wa google map kwa asilimia 90. hivyo Google map wananiamini sana🤣🤣🤣​
 
Hizi gari zinapita kila chochoro, nimeshawahi kumuona wife na watoto wakitoka shule kwenye streetview lakini wanawaficha sura na gari wanaficha numberplate...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…