Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

Satelite kwa sana ila pia wanawatu wao wanao update hizo data kwa ground an sikuhizi kuna 3D maps zinazoonyesha streets kama zilivyo hii kuna gari linatembea mitaani kuchukua 3D images, sidhan kama wamekuja kwetuntayari ila niliwaona rwanda mwaka jana hivi walikuwa wanafanya hiyo kazi
 
Nimejifunza kitu hapa.
 
Nataka kuingiza biashara yangu ikiwa ni kuitangaza pia au kuifahamisha kwa wateja.
Nifanyeje?
 
Nataka kuingiza biashara yangu ikiwa ni kuitangaza pia au kuifahamisha kwa wateja.
Nifanyeje?
Nenda kwenye coordinate yako. Juu kulia kuna vinukta 3, viguse (click) halafu ongeza jina unalotaka, kisha hifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…