Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

India, Pakistan,UK,US,France, Russia,China,North Korea,wote hao Wana Nuclear,tatizo Iran and chuki na Israel and kawaapiza kua atawamaliza kwa Bomb,mtu huyo utaruhusu awe na Bomu??
Kwa hiyo nchi yoyote ikiwa threatened verbally sheria zinaruhusu kuivamia nchi iliyo i threaten.
 
Jibu lako lipo hapa "Russia hataki Ukraine ajiunge NATO"
 
Ni sahihi, theory zote ni sawa, cha maana umeelewa!
Kwa hiyo issue hapa ni nani mwenye nguvu!
Mshangao wangu unaenda mbali kwanini mataifa mengi hasa G7 yanamuunga mkono Israel sasa !
 
Jirani yako amesema by any means atawaua afute kabisa kizazi/familia yako, na amekuwa na uhasama wa muda mrefu na wewe na juzijuzi alituma panya road wengi wakaua wanafamilia yako wakabaka, wakalawiti halafu ukamuona jirani huyo anakuja na zinga la bisu lina ncha kali lina makali pande zote anajianda kuelekea uelekeo wa nyumbani kwako na ukawa umemuona wewe utafanyaje?
 

Kwa hiyo nchi yoyote ikiwa threatened verbally sheria zinaruhusu kuivamia nchi iliyo i threaten.
Usalama wa taifa upo hivyo,kuzuia Vita kabla haijatokea ndio maana since 2002 Wana science wa Iran wanauliwa na majasusi wa Israel ili mradi wao ushindwe kuendelea,now wameona washambulie vituo vya Nuke direct..

Swali kwako:

Ulitaka Iran aachwe na Israel atengeneze Nuclear then Israel asubiri Kama atashambuliwa au mikwara tu ??
Kwa hiyo nchi yoyote ikiwa threatened verbally sheria zinaruhusu kuivamia nchi iliyo i threaten.
 
Sina uhakika kama nchi nyinginezo zinazomiliki nuclear weapons sipo sehemu bayana... Kiasi kwamba hata sisi watoto wa Kizimkazi Tunaweza fanya matembezi ya kitalii
 
Tatizo ni kauli za viongozi wa iran.
Tutaifuta Israel kwenye ramani ya dunia.
Viongozi wengi wa iran wametoa kauli hizo.
Hakuna siraha inayoweza kulifuta taifa lolote kwenye ramani ya dunia ila ni silaha za nuklia tu. Mashaka yapo hapo
 
Lengo la Iran ni kuigeuza Israel majivu
 
Hapa ni sawa na kuuliza ccm wakiruhusu reforms zinazodaiwa bila kushinikizwa na mabeberu,wanapungukiwa nini?
 
Unaweza kuta huyu ni mtu mzima kabisa anauliza swali la namna hili😁

Kiufupi iran kupitia uongozi wa kidini wa ayatollah ameapa ikikamilisha mradi wake utaiangamiza taifa la israel

Sasa adui anakuambia nitakuua utakaa umsbri?

Kitabu cha buana mud kinawaharibu sana fahamu zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…