Kwann Israel hatakiwi kuwa nazo na kwann Iran anatakiwa kuwa nazoNuclear facilities za Iran zote zipo zinafatiliwa na International Atomic Energy Agency (IAEA) na mpaa jana wamesema Nuclear facilities zao hakuna dalili wanataka kutengeneza Nuclear Boom. Wakati Israel anazo na kisheria hatakiwi kuwa nazo
Ndugu yangu...... Utatengenezaje bomu la Nyuklia afu ukasema sio la vita? Umetengeneza ili liwe pambo sebuleni?Iran ina nuclear Ila kwa lengo la vita ndo mana wana sehemu ya siri ya hiyo nuclear kitu ambacho ni kosa mana hairuhusiwi kuwa n sehemu ya siri.
Nishanusurika mara mbili kuuliwa nayo ujue☹️☹️Majitu ya hovyo sana hayo...🤣🤣
Iran Anatakiwa kuwa nazo kwasababu Israel na Marekani wanazoKwann Israel hatakiwi kuwa nazo na kwann Iran anatakiwa kuwa nazo
Kuna muislam nchini kwako amewahi kukukosea? Vipi kuhusu waislam kutoka Indonesia? China ?Nishanusurika mara mbili kuuliwa nayo ujue☹️☹️
Ukiwa nchi za kikristo epuka sehemu za mikusanyiko msimu wa xmas.Huo ndio muda hao nguruwe wanajimwagia marashi wanavaa mabom wanaenda kujilipua sehemu hizo.
Kumbuka Izrael 🇮🇱 ni taifa Teule la Mungu kama lilivyopewa nafasi ya kupokea manabii wote na Imani basi wamepewa mamlaka ya kulinda amani ya dunia. Jiulize huyo mfuga ndevu anarubisha hayo ma niluclear ya nini? Kama mtu anaeneza dini ya mwarabu kwa upanga ni vipi akiamua kuwatumia kuteketeza nchi waliokataa kufuata anachokiamini?Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Nimeelezea hapo, labla hujasoma tuu.Ndugu yangu...... Utatengenezaje bomu la Nyuklia afu ukasema sio la vita? Umetengeneza ili liwe pambo sebuleni?
PoaIran Anatakiwa kuwa nazo kwasababu Israel na Marekani wanazo
Yaani nchi pekee (USA ) ambayo imewahi kulitumia kuua watu (Hiroshima and Nagasaki) hailalamikiwi na hamshtuki tu?! Wakati tunaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu Kuna watu wanajipambaniaUSA ana nuclear ila hujawahi kusikia akilalamikiwa, pia eneo lake linajulikana na linadhibitiwa.
Yah Wakati naandika hvy nljua kabisa utazungumzia hy ya Hiroshima.Yaani nchi pekee (USA ) ambayo imewahi kulitumia kuua watu (Hiroshima and Nagasaki) hailalamikiwi na hamshtuki tu?! Wakati tunaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu Kuna watu wanajipambania
Ndio.Kuna muislam nchini kwako amewahi kukukosea? Vipi kuhusu waislam kutoka Indonesia? China ?
Niambie n lini Urusi ilitishia nchi za NATO.Mbona Urusi wakati anaanda hayo mabomu hawakumzuia kwa kigezo atawatishia NATO!?
Israel za vita Iran si za vitaKwann Israel hatakiwi kuwa nazo na kwann Iran anatakiwa kuwa nazo
Mighty is right as the old saying goes, ni mambo ya ubabe tu hayahusiani na UN wala organization nyingine yoyote.Kwa hiyo sheria za umoja wa mataifa zinaruhusu Kenya akianza kutengeneza nuclear Tanzania tumvamie?
1950s huko, sijapata bado point YakoYah Wakati naandika hvy nljua kabisa utazungumzia hy ya Hiroshima.
Sasa fuatilia IAEA imeanzishwa Mwaka gani na hilo ndo jibu lako.
Tatizo kubwa la Iran ni utawala wa Ma-Ayatollah wanaosema wanataka kuifuta Israel, Zellensiky hajawahi kusema anataka kuifuta Russia, hajawahi kutaka silaha za nuclear.Mkuu wanaokataa Ukrein asijiunge NATO ndio wanaosaport Iran awe na Nuclear, na wanaotaka Ukrein ajiunge NATO na hata ikiwezekana kuwa na Nuclear ndio wasiotaka Iran iwe na Nuclear, inategemea kwa muda huo unahitaji nini na sio kuwa na consistency ya unachokisema Jana ndio ukiseme siku zote.
Kwahio ni UNAFIKI TU.
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabi
NB: Umoja wa mataifa ni US na Israel TU. Ndio wanaamua muelekeo wa dunia.Kwa hiyo sheria za umoja wa mataifa zinaruhusu Kenya akianza kutengeneza nuclear Tanzania tumvamie?
Hapa ndipo shida ilipo, bora angejifanya rafiki kisha akaja kumfuta kimya kimya sema tatizo Israel ana majasusi wengi hapo mashariki ya kati, anaijua move yako ya tano kabla haujamaliza move ya pili.Iran akimiliki nuclear kifuatacho ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa nuclear bomb