Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Wewe kweli una short memory na labda ni watoto waliokunywa maziwa ya lactogen badala ya maziwa ya mama.
Kabla ya uhuru na baada ya uhuru ilikuwa kawaida kurudisha hazina fedha ambayo haikutumika kwenye idara mbali mbali.
Kuna kurudisha Kwa sababu pesa imevuka mwaka na miradi haikutekelzwa ipasavyo.

Hoja ni mradi umekwisha na chenji imebakia.

Jerry na Bashungwa walikataa Rushwa za mabilioni
 
  • Thanks
Reactions: B47
Wanasema alitumia Force account na Local fundi, alitumia pesa kidogo sana ndio maana watu wanamsifu sana
Basi kama ubora ni ule ule bora hivyo maana madude ya serikali yanakuwa ghali mno. Ukiingia befoward prado zero km unachukua kwa 120 pamoja na kodi. Serikali ikinunua the same prado tena bila kodi inakua 200m😃😃
 
Kwani mtu kujipanga kurudi Bungeni Kuna shida?
Nadhani hoja hapa ni Uzalendo au viashiria vya uzalendo hawa watu wanavyo?
Kujipanga kurudi bungeni si kosa, hata mimi najipanga kugombea Jimbo la Kyela , lakini kujipanga kwa kutumia hila, Utapeli na chawa kwa kulaghai watu haikubaliki
 
Sahii kabisa hata 2mbili nae alikataa US$800,000 zaidi ya 2bl za Escrow hawa watu wananifurahisha sana.
Rushwa ambayo unaona inaenda kuangamiza Nchi huwezi kubali.Lakini Mkandarasi anataka kazi na uwezo anao hiyo Rushwa nachukua maana ni ya kupata kazi sio kuumiza mwingine,wanaoumia hapo ni washindani tuu sio Wananchi.

cC DP World 😂😂
 
Lini,wapi na mara ngapi nilikueleza,kujieleza na kukupa cheti cha uanachama mnachokiita kadi,uliniona lini kwenye vikao/mikutano na kujinasibisha na CDM?Hebu jibu hayo ndiyo uendelee na maswali yako.
Mataputapu tu mtu anashinda Uchaguzi duuuh😂😂😂
 
Back
Top Bottom